FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,575
- 2,091
- Thread starter
-
- #61
Jua maana ya Neno Hai kwanza ndugu yangu. Muujiza wake ndio ulioumba haya Yote unayoyaona na UsiyoyaonaSo kwa akili yako wakati anaumba hivi vyote alikuwa Hai au amekufa?
Zako Sometime zinaweza Zikawa hazikutoshi maana Wengi hawajui ukweli. Ni Wangapi wamefuata Mikumbo ya Wazazi wao tu bila KujiulizaZa kuambiwa changanya na za kwako...
Mimi sina imaniKwa imani yako
Kwahiyo Mungu wako anachuki! Usipompa Sadaka anakulaani na Kukupa Mabalaa hapa DunianiUNAPOTEA
Mungu alaani mtu kwa kutomtolea sadaka wala nini japo tu utakosa baraka kutoka kwakeKwahiyo Mungu wako anachuki! Usipompa Sadaka anakulaani na Kukupa Mabalaa hapa Duniani
Au nimepoteaje ndugu yangu
Hata malaika na Majini yanazaliana kama Wewe na Mimi Mkuu ingawa Wewe huyaoni kwa Macho.
Mikumbo ya wazazi kuifuata mwisho miaka 18...Zako Sometime zinaweza Zikawa hazikutoshi maana Wengi hawajui ukweli. Ni Wangapi wamefuata Mikumbo ya Wazazi wao tu bila Kujiuliza
Chombo cha imani ni mtu mwenyewe.Daah
Kwa hiyo chombo kama chombo unaweza kukila bila msosi ndani yake? Imani na chombo ni sawa. Chombo kidogo msosi kidogo, chombo kikubwa msosi mwingi. Hakuna chombo hakuna msosi.
Imani.
Hakuna mtu yeyote asiyekuwa na imani. Tatizo unadhani imani ni kwa Mungu pekee.Mimi sina imani
😄😄😄😄Chombo cha imani ni mtu mwenyewe.
Hao wanaopigana Si kwamba Wanapigana na Mungu mwenye Vyote ila Wanapigana Viumbe wao kwa Wao kupigania Mamlaka Fulani kama Sisi Tunavyopigana Huku duniani, Marekani anataka Kupigana na Urusi. Urusi anataka Kupigana na Ukraine. Tanzania na UgandaMkuu napenda sana watu wanaofikiri Kwa akili huru, Mimi nishaanza kuamini shetani kwa maana ya kiumbe hayupo, ila mambo yote negative ie wizi, uzinzi, uuaji, matusi etc ndo shetani, yaani shetani ni vitendo na sio kiumbe. Kwasabu nafikiria Yana Lucifer (shetani) kaumbwa na Mungu (kama tunavyofundishwa) alafu baada ya kumuasi, Mungu anapigana vita na yeye. Yani Mungu anapigana vita na kiumbe chake??? Je malaika Michael, au Gabriel naye akiasi itatokea Tena vita huko mbinguni, je wakipigwa wataenda kuungana na Lucifer (shetani tunayehadithiwa) au watantengeneza nao ufalme wao??
Hakika kama Mungu aishivyo, akupe haki yako!Kumekuwa na Dhana POTOFU na Dhana Hii imewaharibia sana Akili watu wa madhehebu. Unakutana na Mtu anakuambia, Mungu wangu yu Hai
Kitu kilicho hai ni kiumbe tu. Mwenye Enzi Mungu yupo nje kabisa na Vinavyoishi, yeye aliviumba Viwe vinaishi na akaviweka Katika Sayari mbalimbali vikae huko
Yeye hakai na Viumbe vyake wala Hasaidiani mambo yake na Viumbe vyake alivyoviumba.
Kwahiyo ni makosa makubwa kumfananisha Mwenye Enzi Mungu na Uhai wa Viumbe vyake na kusema Eti Yeye yu Hai, kumpatia Sifa za Viumbe (anakaa, anasema, anatuma malaika, anatamaa, ana wivu n.k n.k ni Makosa na Upotofu mkubwa sana unaoendelea huko Wanakoabudu
Mmeambukizwa Imani za Viumbe waovu na Wenye dhambi (Mashetani, Malaika, Wachawi n.k) Na mnapokuwa mnamwabudu Mungu huyo mnamfananisha na Nyie mlivyo. Mnampa Sifa za Nyie mlivyo(uhai, tamaa, wivu, Utakaji wa vitu). Mungu hana Sifa za Ubinadamu wala sifa za kiumbe chake chochote kile
ASANTENI
Jiwe halina Uhai je Limeumbwa Na asiye na Uhai pia.!? Nimemuuliza hilo swali PiaSwali zuri
Ndio mjue kwamba Mmepotoshwa sana. Maana Hakuna Sehemu Mungu kaongea zaidi kitabu kinakuwa MUNGU AKASEMA.. MUNGU ALISEMA. Maana yake Hapa Mungu anasimuliwaShida inakuja miungu haujawahi sema chochote kile. Zaidi ya wakoloni kutuletea vitabu wakidai miungu inataka nini. Lakini miungu yenyewe haijawahi kusema kitu.
Ukisema nina mwili ni sahihi lakini mimi sio huo mwili.
Huo mwili ni wangu nimepewa na hili silikatai japo unaniwekea maandishi ya kujikana.
Nina mwili ndio.
Basi Mngekuwa mnaishi naye Mtaa Mmoja. Kama Atakuwa anaishi basi Ungejua Amepanga au Amejenga Sehemu fulani na Hizo Sadaka na Zaka msingekuwa mnapeleka Kanisani mngekuwa Mnampelekea Sehemu anayoishi.Mungu kama hana sifa ya kuishi basi hayupo, ili awepo lazima awe na sifa ya kuishi.
Na kuhusu kutokuwa na sifa ya uhai. Embu tuambie uhai ni nini? Na kinyume cha neno uhai ni nini? Kama Mungu hana uhai atakuwa ni mfu
Watu wamepotoshwa Ndugu yangu. Mungu ameumba Viumbe wengi samaki.. Tembo.. Milima.. Bahari.. Mito.. Malaika.. Majini n.k halafu Eti binadamu tu ndio afanane na MunguMungu hafanani na kitu chochote alafu hapo Mungu kaumba mtu kwa mfano wake. Inafikirisha sana
Acha kuwaza ujinga hakuna kitu kinachiitwa mbingu space ni infinity na ulimwengu unazidi kutanua kwa spidi ya mwanga .unayoiina juu sio mbingu bali ni mwisho wa upeo wa machi yako ,huko juu hakuna mwishoMwanadamu kumuwaza Mungu hutaweza kumpatia picha mwisho unaweza ukajikuta unakufuru tu.
MWENYEZI MUNGU YU HAI MILELE DAIMA.
Hivi ulishwahi kujiuliza hizi mbingu zimewezaje kuwa juu yetu pasi na kuwekewa nguzo yoyote ile unayoiona?
Ni nani anaezishikilia hizi mbingu zisitufunike tulio chini yake?
Vp huyo anaezishikilia akisinzia sisi tuliochini yake tutakuwa katika hali gani?
Ukishajiuliza swali hili ndio utajua kuwa MUNGU yupo hai au amekufa!
Unamaanisha Shule hizi za Wakoloni.? Kabla ya Wakoloni ndio A ilikuwa inajulikana na wazee wetu walifundishaKabla ya shule ulikuwa unajua kuna herufi A?
Maswali mengine ujijibu mwenyewe.