Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,752
- 3,712
HakikaWeka na picha mama...hayo mambo ya kuja pm bila kuona picha unajikuta umemtongoza shangazi yako bure
HakikaWeka na picha mama...hayo mambo ya kuja pm bila kuona picha unajikuta umemtongoza shangazi yako bure
AmenMungu akusaidie upate hitaji la moyo wako. Ila usije kujilaumu kwanini hupati mtu au abachelewa pengine fungu lako halipo humu. Cha msingi kuwa na moyo subira hakuna kinachoshindikana
Asante my sisterbora wewe unaonaga tunayoshauri! mbwembwe za kimo hazuhusu,,kila la heri Christinaa
Njoo pm, mm nakufaa ila utakuwa na dadako hapa, nina pesa ya kuhudumia wote kwa mapenzi ya dhati bila kubagua, ww utaona, karibu PMHabari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.
Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana.
Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila sikuweza fanikiwa na sina wa kumlaumu katika hili
Umri wangu kwasasa ni 28
Ni mkristo
Hitaji langu ni kumpata mwenza alie smart in and out
Sichagui rangi, urefu sijui ufupi ila uwe tu smart sababu naamini mume ni zaidi ya physical appearance
Umri usiwe chini ya 30
Na ni vizuri ukiwa ni mkristo
Mambo mengine ya msingi tutafahamishana pm
Karibuni!
Ila ni kweli kiongoziWeka na picha mama...hayo mambo ya kuja pm bila kuona picha unajikuta umemtongoza shangazi yako bure
HabarHabari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.
Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana.
Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila sikuweza fanikiwa na sina wa kumlaumu katika hili
Umri wangu kwasasa ni 28
Ni mkristo
Hitaji langu ni kumpata mwenza alie smart in and out
Sichagui rangi, urefu sijui ufupi ila uwe tu smart sababu naamini mume ni zaidi ya physical appearance
Umri usiwe chini ya 30
Na ni vizuri ukiwa ni mkristo
Mambo mengine ya msingi tutafahamishana pm
Karibuni!
Mlishafunga ndoano?Ameshajibu maombi yako,,,,,,,,,naja huko PM