Hii tuhuma nzito sana. Nani alilawitiwa? Ni mwenyewe alisema kuna walioona?!?Hakuna awamu watu wasio na hatia walifanyiwa unyama WA kulawitiwa kama awamu ya tano. Magufuli aliyajua alivyokuwa akifanya Sabaya lakini hakuchukua hatua. Tulikuwa na Rais WA ajabu Sana.
Stand na mbakaji haina shida tutaelewana tuuKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Pumbavu mkubwa weweKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Mataga wewe muhuni Kama huyo mumeoNaunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.
Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.
Mungu atalipa!
Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.
Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.
Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.
Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.
Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.
Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.
Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.
Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.
Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..
Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.
#IStandWithSabaya
Mumeo huyo lakini leo chamoto atakipata atafokolewa balaaKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Muwewe huyo lazima amteteeWhaat! Mkuu bado wewe ni mtetezi wa huyo ndezi Sabaya!?
Kwa hiyo Takukuru na mahakama sio za kuaminika tena?Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
hili ndo tatizo la division fiveKwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.