Mungu atalipa!

Mungu atalipa!

Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
kabaka Mama yake mdogo
kabaka Dada yake

Huyo mbakaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrs sabaya mumeo yuko anarusha ndege kisongo bdo j3 anapanda kizimbani kilimanjaro n kusomewa mashtaka yake mengine,akimaliza anapelekwa manyara,dom,dar kote huko anakesi za kujibu
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
i stand against sabaya
 
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
Peleka ujinga wako kwa mmeo!!
 
Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
Kumbe na wewe ni mjinga kiasi hiki!! Nilikuwa nakusaport kwenye mada zako, kumbe ni lipompoma!
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
Hili mataga ni bwabwa kama mabwabwa mengine
 
Mnajifanya kupinga ushoga huku mnamsapoti anayelawiti?
 
Nakuvulia kofia kwa uongo na unabii wa uongo uliotukuka.
 
Yaani kwa trendi zilizopo, kumpata mwingine dizaini ya Magu, mtasubiri sana. Na kama unaona Sabaya ni jembe, sawa tu. Kuota ndoto ni haki yako
 
Ujumbe kama huu mnauchukulia kwa wepesi lakini hizi regime zinavyoenda .... bora kuwa na hekima tu .... huwezi jua after 2025 what will happen...regime gani ita take over ...

Nafikiri baada ya funzo la JPM ...huko mbele kuelekea 2025 CCM kutawaka moto ambao hautasahaulika impact yake! Kuna pande ambazo zimejaa kisasi na watatoana ngeu!
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
KWA tahalifa YAKO sie ,ambao mungu anatutumia KWA mapenzi yake mwenyewe bila kulazimisha ,moyoni tunayajua mengi juu ya mwendazake, mpende kesha ukimuombea ili alipo apunguziwe alichostahili,au awe mahali pema ,inatosha,
 
Hakuna awamu watu wasio na hatia walifanyiwa unyama WA kulawitiwa kama awamu ya tano. Magufuli aliyajua alivyokuwa akifanya Sabaya lakini hakuchukua hatua. Tulikuwa na Rais WA ajabu Sana.
Na ndiyo maana Covid ikaamua kumfutilia mbali
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
Ulivyokuwa ukishiriki nae vitendo ovu ulitarajia kuvuna nini Mkuu au teknolojia ulidhani haitaumbua "washamba?" Isijekuwa ni majambazi haohao ndio walimrushia TL risasi pale Dodoma...
Ndivyo VIVIHIVI MUNGU ALIPAVYO NA NDIVYO HUKUMU YAKE ILIVYO... Kama ulinyonga... utanyongwa... kama uliua utauawa... kama ulibaka utabakwa... kama ulilawiti utalawitiwa... kama ulionea nawe utaonewa... HUTAPUNJWA KATIKA KIBABA CHAKO...
UKISHIRIKIANA NA MWOVU NAWE NI MWOVU... Apatapo stahiki yake nawe jiandae...
 
Back
Top Bottom