Sawa, we have time.Yanayo ila majibu yake yatazaa maswali zaidi na majibu maswali zaidi na majibu maswali zaidi, na majibu maswali zaidi, na majibu maswali zaidi to infinity. Kwa sababu tunataka kuichunguza nguvu ambayo bado hatuielewi.
Katu, Kamwe Mungu hawezi kutenda dhambi.Wakulungwa vipi?
Kuna swali huwa linanitatisha.
Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu.
Na mungu ana free will.
Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
Mbona kama unanitisha?Sasa ushavielewa alivyokuwekea huko mwilini ukavimaliza mpaka uhamie kwenye MUNGU mwenyewe?
Embu tumia muda tu kuchunguza mfumo wa pua yako unavyotoa kamasi na kamasi zinavyotengenezwa na ni kwann zina chumvi chumvi, ukitoka hapo amia kitu kingine hivyo hivyo ukimaliza utamfikiria MUNGU kwa mtazamo tofauti.
Ahaaa...kwahyo tunakosea pale tunaposema Mungu anaweza kila kitu.Sababu ni kwamba, hizo sheria ndio mamlaka yenyewe.
Naona huku watu wanasema ooh, kamtupa shetani duniani, iyo ndio dhambi kubwa. Huo mfano watu wanauita shetani, hauvunji sheria hata chembe.
Analogy ntakayotumia hapa, ni kwamba 'SIKU' ina 'mchana' na ina 'usiku'. Bila mchana hautojua umuhimu wa usiku, na pia bila usiku, umuhimu wa mchana hautoonekana.
Yani kila kitu kina purpose yake tayari.
Kwa hiyo usisema Mungu, ni kama umesema SIKU. Yani kwamba tegemea mwanga na giza humo humo.
Sawa mkuu, kwahyo Mungu hawezi kufanya uovu kwa kuwa ndiye njia ya uzima?Unakufuru ndugu yangu.
Heri hujui ulisemalo.
Mungu ni MWANZO na MWISHO(Alpha na Omega), wa lolote ulijualo na usilolijua.
Mungu kupitia mwanawe Yesu Kristo, ndiye MWANZO, NJIA na UZIMA.
Soma Neno la Uzima upate kukua.
You have timeSawa, we have time.
Anza kutoa majibu ili twende till infinity
Okay, kumbe kuna vitu mimi binadamu naweza ila Mungu hawezi.Katu, Kamwe Mungu hawezi kutenda dhambi.
Ni MTAKATIFU mnoo
Take this LYou have time
And you have fearYou have time
wrangle base on conjectureAnd you have fear
Swali langu bado hujalitendea hakiKwanza lazima utambua kuwa Mungu aliangamiza Dunia mara moja. Kupitia Gharika kuna uzao wa malaika walioasi waliopowaingilia wanadamu wanawake na kupata watoto ambao walikuwa na tabia mchanganyiko.
Baada ya hiyo Gharika hiko kizazi kikafutika.
Kuhusu Dhambi ya Uzinzi Mungu aliangamiza Sodoma na Gomora sehem 2,
Iko kitu unacho kitaka wewe kitakuwepo na hizo Dhambi zitakoma. Pale ambao Mji Mpya utashuka.
Wakati ambao Maadui wamewekwa Chini ya Miguu.
Kipindi unakuja DSM uliomba Mungu akusaidie. Leo unamuona Mungu hana maana siyo?
Ni kama unanipata,Ahaaa...kwahyo tunakosea pale tunaposema Mungu anaweza kila kitu.
Kwamfano wako wa mwanga na giza, ni kuwa lazima zijitofautishe.
Na mwanga hauwezi kuwa giza maana utabadili purpose yake.
Kwahyo Mungu nayeye ana purpose yake ambayo hawezi kuikiuka.
Hivyo kuna vitu ambavyo hawezi kufanya.
Uwezo wake umeishia hapo.
Mfano Uongo, Mungu hata ajikazaje, hawezi kudaganya maana atabadili purpose yake.
Nmekuelewa vyema mkuu🤝🤝
Mbona unachanganya Habari Kuwaamgamizi watoto wachanga Mungu aliwaambia watu wa Amaleki.Swali langu bado hujalitendea haki
Hao nephilim unaowazungumzia, Bible imewataja kwenye geneis 6, wakati sodoma na gomora imetajwa Genesis 19
Kwa maana hiyo ni kwamba tukio la sodoma na gomora lilitanguliwa na hao malaika waliohasi
Mungu alipokuja kuangamiza hicho kizazi kilichokuwa kina shiriki kufanya hiyo dhambi alikuwa na target ya kutokomeza kabisa na ndio maana kwa mujibu wako umesema akaamua kuua hadi vitoto vidogo ambavyo vilikuwa vimerithi kwa wazazi wao.
Sasa mbona dhambi ile bado ipo?
Imetokea wapi ikiwa Mungu aliangamiza mizizi ambayo baadaye ingeweza kuleta maafa kama ya mwanzo?
Kama dhambi hii imeweza kuwepo licha ya kuwa wale watu waliuwawa, huoni kama suluhu ya Mungu kuuwa watoto yalikuwa si maamuzi sahihi?
Dhambi hii ambayo iko sasa unafikiri nani wakumpa lawama kwa uwepo wake ikiwa Mungu alifanya kila kitu kuhakikisha haiwezi kuwepo tena?
Hajajiwekea sheria au amri.Kawawekea binadamu.Mfano ukijiwekea sheria kwamba hautakuwa unakunywa soda. Siku ukijisahau ukanywa si utagundua umefanya makosa?
Shida sio nani katendewa, shida ni kwenda kinyume na sheria alizoziweka.
Je akiamua kuua mtu au kumtesa asiye na hatia?(mf. Alivyomfanyia Ayubu)
Kwahyo anaweza kusema uongo?Hajajiwekea sheria au amri.Kawawekea binadamu.
Kwake YEYE yote yawezekana.Haamuriwi wala harlekezwi.NDIYE kila kitu.Hakuna wa kumuwajibisha kwa lolote.NDIYE amri kuu.Kwahyo anaweza kusema uongo?
Ahaa kumbe anaweza kutudanganya.Kwake YEYE yote yawezekana.Haamuriwi wala harlekezwi.NDIYE kila kitu.Hakuna wa kumuwajibisha kwa lolote.NDIYE amri kuu.
Kwa tafsiri yako utaona unadanganywa.Kwake itakuwa anakuelekeza kwa njia mbadala.Ahaa kumbe anaweza kutudanganya.
Sasa sisi tunamwaminije anapotuambia kuwa shetani ndio mbaya yeye ndio mwema?
Nimeongea in general kwa maana ya kugusa stori zote mbili.Mbona unachanganya Habari Kuwaamgamizi watoto wachanga Mungu aliwaambia watu wa Amaleki.
Lazima ujuwe kuwa Sodoma na Gomora alivyoangamizwa kulikuwepo na Miji mingine. Watu wa Sodoma na Gomora walikuwa wanasafiri kuelekea kwenye Miji kuna mambo walikuwa wanaeneza.
Hizo Dhambi ya uzinzi inachochewa na mapepo na Shetan yeye atakapoangamizwa hivyo vitu havitakuwepo
Hiyo Dhambi lawama itaenda kwa Mwanadamu atakayevutwa na Tamaa Siyo wanadamu wote wazinzi