Mungu anawaona mjue.......

cjambo mie, kasi ipi jaman mbna nipo kawaida. hebu nambie hyo kasi ili nsije ingia pori kavu!

nilienda likizo haupo, nimerudi nimekukuta umekuwa mwenyeji kweli kweli! huna hata mabaki ya kamba mguuni! salama?
 
nilienda likizo haupo, nimerudi nimekukuta umekuwa mwenyeji kweli kweli! huna hata mabaki ya kamba mguuni! salama?

nlikuwepo mkuu,sema kwa id nyngne. id za awali ilileta shda ikanibd nisajili id nyngne! hku salama salmin amour. . . .
 
...na nyie wote mliochangia hii Thread MUNGU amewaona na amewabariki...hasa mleta Thread.. Preta

na wewe uliyetambua mchango wa woote... Mungu anakuona
 
Last edited by a moderator:
nlikuwepo mkuu,sema kwa id nyngne. id za awali ilileta shda ikanibd nisajili id nyngne! hku salama salmin amour. . . .

ndio maana nikasema huna kamba mguuni! vipi leo huko milimani kukoje? jana ulilalamika foleni!
 
nipo job, badala ya kuconcentrate, kila saa nipo jf! wallah MUNGU ananionaje thatha!??

:angry: :angry: .....hivi namba za boss wako ni zile zile au amebadili?......unaleta mchezo na kazi eeh..... Mungu anakuona cacico
 
Last edited by a moderator:
Ipo sana hyo sweetlady,wengine wanapiga picha kwenye magari ya watu wanabandika fb na kujifanya yaoo.. loh aibu kweli.

Aibu sio kidogo Little Angel kwa nini mtu atake sifa na kitu kisicho chake lol.....kama hujapewa leo utapewa kesho na kama huna huna tu.......tujifunze kuridhika na tulivyonavyo!

BTW nimependa hiyo id yako.....tubadilishane au niuzie tehe!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady shemeji yangu naomba murudi kwa huyo mganga wenu mnilegezee masheriti,...mtaniuaa...
BAGAH kwani vipi tena shem?.......mie hapa bado kukuelewa kabisa, angekuwepo Erickb52 angefafanua manake yeye ndie aliekuendea kwa mganga......mie akuuuuu namtegemea Mungu kwa kila jambo.
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika kua single ni kuenjoy!
Sanasana utabadili ndizi tu! Leo mkonowaTembo, kesho, NdiziBukoba, kisha NdiziMoshi, tena Kisukari, thn Ngonja n. K ,
Huko nako ni kufaidi ?

mmmmmmmmhhhhhhh! Du
 

Hahaaaaah haha yaani Preta ndiyo umeamua kuja kunianika hapa JF!!! Sifa zote ulizozisema ninazo hapo juu yaani.....

Ngoja na mimi nitupe jiwe sasa,

Kwa wale akina dada au akina kaka wanapotongozwa/kutongoza kisha wanasema hawana marafiki(wapo single) MUNGU NAO ANAWAONA.
 

he he he.....na wale wanaopeleka nyama kwa kimada.....watoto nyumbani wanakula kabichi kavu....Mungu anawaona.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…