BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 4,797
- 8,501
Gari lipo sababu limetengenezwa, hvyo hivyo kwa nyumba nkKwanza kabiza, thibitisha huyo Mwenyezi Mungu yupo kweli na si sanamu uliloliumba mwenyewe kwenye mawazo yako.
Maana unaweza kuhoji masanamu unayoyaona, huku unaendelea kuabudu masanamu uliyoyaunda mwenyewe mawazoni.
Thibitisha Mwenyezi Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si za kutungwa na watu tu.
Je binadamu unadhani kaumbwa na nani? Nadhani utasema nature ila mbona watu watu hawaumbi watu wao? Mbona jua linazama na kuchomoza, mbona mwez upo, mbona mbingu haina nguzo na ipo juu? Najua utasema sayansi asilia.