Mungu anapitisha kisulisuli, anaisafisha dunia.

Mungu anapitisha kisulisuli, anaisafisha dunia.

Pitia video za revelation toka kwa pastor doug.ziko YouTube


Ndugu zangu jamani tutubuni Muda ndo huu
Screenshot_20210609-165515.jpg
Screenshot_20210609-165527.jpg
 
Habari wanakamati!
Naomba muungane nami kuupata huu ujumbe.
Mungu anaisafisha dunia, na kila bonde litasawazishwa, kila kilichotukuka kinashushwa, kila anayeigiza utakatifu atafyekwa.
Hii dunia inasafishwa sasa.
Ujumbe tayari.
Mithali. 10:25
Kisulisuli kikiisha pita asiye haki hayuko tena.
Alisafisha mara moja tu wakati wa Nuhu
 
Mambo ya multiple id
Ali ni dereva wa boss, ameoa, ana gari lake, ana maisha fulani ya kuhangaika na michepuko, umri ni 30s.
Ndege Yohana anauza mitumba Singida, anahangaika na wanawake wanamtesa, umri under 30, hana mtoto wala mke, siku hizi anakunywa pombe za kienyeji.

Kwa mujibu wa maisha yao ya JF
 
Kwani kuna msiba mwingine?? ,2021 mmh

Everyday is Saturday............................... 😎
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom