Mungu Anampenda Shetani Zaidi ya Viumbe Vyake Vyote

Ooooh pole ni kweli inaumiza ila Sio Mungu husababisha haya yote...Mathayo 24:6-7 ukipata mda kasome Yesu alishaongelea haya..
Huyo Yesu hajawahi kuwepo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Unahangaika sana kumuongelea huyo Yesu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe.
 
Pole bro ..Sasa unazani maswali unayojiuliza majibu yake utapata wapi😂😂🤔🤔🤔
 
Mungu wa Biblia hana baya amemua cha Shetani nae ajipatie wafuasi wake lakini amewambia kabisa uyo jamaa ni muongo na mwisho wake ni kiama.
 
Hiyo Biblia haina tofauti na riwaya za Alfu Lela ulela au riwaya za Hawafu mwenye nguvu.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe kama ana huo uwezo.
Aisee nakusikitikia sana sio makosa yako lakini ni mfumo wa mambo..mda utafika HAKIKA HAKIKA HAKIKA utamkiri kwakinywa chako..no yangu hii 0682447099 mda ukifika usiache kunifahamisha.
 
Nakwambia hivi, Huyo Mungu wako hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Unahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
 
Single mama vs mzazi mwenzie. Mivutano yao hua inaishia kwa mtoto kuumia
 
Hii battle ni sawa na magenius wawili ambao walikuwa na almost uwezo unaolingana ila mmoja kati yao akaja na startup idea na akamshirikisha mwenzie na wakaamua kuungana kuifanya hiyo idea pamoja.

Lakini kama unavyojua watu wenye akili zisizotofautiana sana huwa ni ngumu kukaa pamoja kwasababu huwa hakuna anaekubali kujishusha.

Kwahiyo baada ya muda mambo yakawa ndivyo sivyo huyu akabaki na idea yake na huyu akaenda na njia zake then akaamua kutengeneza the same idea like ya rafiki yake ila akaiadvanve kidogo na kuingiza zile idea zake ambazo zilikua zinakataliwa kule.

Kwahiyo kwenye soko challenge ikawa kubwa hadi kufikia rafiki yake kuanza kumchafua kwa kumuita majina ya ajabu ajabu ili aonekane wa hovyo.

Na hii startup idea ilianzia hapa "NA TUMFANYE MTU KWA MFANO WETU" kwenye hili jopo la watu waliokaa kujadili Co-founder alikua huyo anaeitwa shetani.

Kwahiyo inaonekana hata uwepo wa hizi rangi tofauti tofauti hapa duniani hazipo kwa bahati mbaya.

Kuna original color ambayo iliumbwa mwanzo na kuna ile color ambayo iliumbwa na Co-founder na ndio maana uwezo wa hizi color unatofautiana kuna color Moja ni kama imependelewa sana kuliko color nyingine.

Kwahiyo uwezo wao unafanana na hakuna anaeweza kumdhuru mwenzie isipokua kila mmoja analinda alichokianzisha.

NB: haya ni mawazo tu kwa njia ya maandishi.

Umewaza vizuri
 
Mnayumbisha imani za watu.
 
Hii inafikirisha.
 
Nakwambia hivi, Huyo Mungu wako hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Unahangaika sana kumuongelea na kumuelezea huyo Mungu kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
😂😂😂😂
Nijuavyo mimi.... Kuhasi ni uzuwia kuzuwia uzazi wa ME kuzalisha kwa KE.

Sasa shetani alihasi kivipi?
Hapana kuhasi sio hivyo ila ongera kwa kujaribu.Mtu anaye hasi nimtu ambaye tayari yuko katika tengenezo fulani anatoka na kwenda kutoa siriza tengenezo hilo akiwa na nia ya kupindua au kutaka cheo .Vyovyote vile ila akiwa na uwitaji fulani...Shetani Yeye alitaka nini nakuacha hapo ukatafute.
 
UDHIBITISHO HUU HAPA:

- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.

- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.

- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.

- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.

- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.

Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Nimeshtushwa sana khaaa
 
Umenukuu wapi hilo ainisho la muhasi/kuhasi?
 
UDHIBITISHO HUU HAPA:
Unahitaji kujua ukweli wa mambo zaidi.
- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.
Shetani tofauti na wanavyofikiri watu shetani hayupo huru amefungwa na anafanya kazi kupitia wanadamu. Hata malaika zake wamefungwa pamoja naye.
- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.
Shetani alifukuzwa Mbinguni na Duniani. Yupo Kuzimu na huko ameachwa na kitu kimoja anachoweza kufanya kwa wanadamu tena kwa msaada wa roho za uwanda wa chini sana.
- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.
Aliyeharibu mambo enzi za Nuhu ni mwanadamu mwenyewe kwa kufanya dhambi au kwa kukubali kushawishiwa na shetani.
- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.
Kama hapo juu.
- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.
Ni wanadamu tulihitaji ukombozi kwa makosa yetu na sio makosa ya shetani pekee. Shetani yeye tayari amefungiwa kuzimu na hana uhuru kama sisi binadamu. Hali ya shetani ni mbaya mno sisi tumepewa uhuru na muda wa kutubu. Je wewe unatumia fursa hii au unazidi kumtukana Mungu kama afanyavyo shetani?
Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Shida ya Afrika ni kutomjua Mungu wa Kweli Yesu Kristo! Makosa yetu na kama yale ya Waislamu ni kumwabudu kiumbe (Allah) na kumwacha Mungu Aliye Hai. Waafrika tuache kuabudu mizimu (spirits of the dead), tumwabudu Yesu Kristo Mungu aliyekuja katika umbo na namna ya binadamu kwasababu aliwapenda mno!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom