Nimemjibu hapo juu, usiogope!Nimeshtushwa sana khaaa
Nimemjibu hapo juu, usiogope!Nimeshtushwa sana khaaa
Unahitaji kujua ukweli wa mambo zaidi.
Shetani tofauti na wanavyofikiri watu shetani hayupo huru amefungwa na anafanya kazi kupitia wanadamu. Hata malaika zake wamefungwa pamoja naye.
Shetani alifukuzwa Mbinguni na Duniani. Yupo Kuzimu na huko ameachwa na kitu kimoja anachoweza kufanya kwa wanadamu tena kwa msaada wa roho za uwanda wa chini sana.
Aliyeharibu mambo enzi za Nuhu ni mwanadamu mwenyewe kwa kufanya dhambi au kwa kukubali kushawishiwa na shetani.
Kama hapo juu.
Ni wanadamu tulihitaji ukombozi kwa makosa yetu na sio makosa ya shetani pekee. Shetani yeye tayari amefungiwa kuzimu na hana uhuru kama sisi binadamu. Hali ya shetani ni mbaya mno sisi tumepewa uhuru na muda wa kutubu. Je wewe unatumia fursa hii au unazidi kumtukana Mungu kama afanyavyo shetani?
Unathibitishaje huyo Yesu wako ni Mungu wa kweli?Shida ya Afrika ni kutomjua Mungu wa Kweli Yesu Kristo! Makosa yetu na kama yale ya Waislamu ni kumwabudu kiumbe (Allah) na kumwacha Mungu Aliye Hai. Waafrika tuache kuabudu mizimu (spirits of the dead), tumwabudu Yesu Kristo Mungu aliyekuja katika umbo na namna ya binadamu kwasababu aliwapenda mno!
"Zamwamwa"Unafaa kuitwa "informer" Mkuu,Infoprenuer hujatoshea.Taarifa kubwa hizi.
Kuna Uzi mwembamba sana kati ya IMANI na UFAHAMU(consciousness).
Imani ikikuvaa unakuwa Zamwamwa,ndio maana watu wanaambiwa watume Milioni kumi Waponeshwe na Nabii!
Ajabu,AIBU.
Majini hupenda Uislamu na hujitambulisha mara nyingi kwa majina ya dini hiyo. Wachawi na waganga wengi hutumia vipande vya Quran kufanya mambo yao. Ukitaja Jina la Yesu mbele za watu waliopagawa na majini hayo utaona majini hayo hulupuka na hata kukimbia. Jaribu wewe kuliitia Jina la Yesu kwa watu wenye majini na mapepo utaona nini kitatokea.Unathibitishaje huyo Yesu wako ni Mungu wa kweli?
Unathibitishaje Mungu wa watu wengine sio Mungu wa kweli?
Au unatetea na kufosi imani yako uchwara ya huyo Yesu?
Unachofanya wewe hapa ni kutetea imani yako ya huyo Yesu na kupinga dini na imani za wengine.Majini hupenda Uislamu na hujitambulisha mara nyingi kwa majina ya dini hiyo. Wachawi na waganga wengi hutumia vipande vya Quran kufanya mambo yao. Ukitaja Jina la Yesu mbele za watu waliopagawa na majini hayo utaona majini hayo hulupuka na hata kukimbia. Jaribu wewe kuliitia Jina la Yesu kwa watu wenye majini na mapepo utaona nini kitatokea.
Na bado Shetani na Mungu wanakutana na kuongea. Mfano no pale Shetani alipomfuata Mungu na kumwambia Mungu kuwa anajivunia sana mtumishi wake Ayubu, ila yeye (Shetani) ana uwezo wa kumfanya akamsaliti/kumkana.Hii battle ni sawa na magenius wawili ambao walikuwa na almost uwezo unaolingana ila mmoja kati yao akaja na startup idea na akamshirikisha mwenzie na wakaamua kuungana kuifanya hiyo idea pamoja.
Lakini kama unavyojua watu wenye akili zisizotofautiana sana huwa ni ngumu kukaa pamoja kwasababu huwa hakuna anaekubali kujishusha.
Kwahiyo baada ya muda mambo yakawa ndivyo sivyo huyu akabaki na idea yake na huyu akaenda na njia zake then akaamua kutengeneza the same idea like ya rafiki yake ila akaiadvanve kidogo na kuingiza zile idea zake ambazo zilikua zinakataliwa kule.
Kwahiyo kwenye soko challenge ikawa kubwa hadi kufikia rafiki yake kuanza kumchafua kwa kumuita majina ya ajabu ajabu ili aonekane wa hovyo.
Na hii startup idea ilianzia hapa "NA TUMFANYE MTU KWA MFANO WETU" kwenye hili jopo la watu waliokaa kujadili Co-founder alikua huyo anaeitwa shetani.
Kwahiyo inaonekana hata uwepo wa hizi rangi tofauti tofauti hapa duniani hazipo kwa bahati mbaya.
Kuna original color ambayo iliumbwa mwanzo na kuna ile color ambayo iliumbwa na Co-founder na ndio maana uwezo wa hizi color unatofautiana kuna color Moja ni kama imependelewa sana kuliko color nyingine.
Kwahiyo uwezo wao unafanana na hakuna anaeweza kumdhuru mwenzie isipokua kila mmoja analinda alichokianzisha.
NB: haya ni mawazo tu kwa njia ya maandishi.
This is a clear indication that God and Satan don't hate each other.Na bado Shetani na Mungu wanakutana na kuongea. Mfano no pale Shetani alipomfuata Mungu na kumwambia Mungu kuwa anajivunia sana mtumishi wake Ayubu, ila yeye (Shetani) ana uwezo wa kumfanya akamsaliti/kumkana.
Mungu akamruhusu kumjaribu ila asimuue na Shetani akakubaliana na Mungu na ajabu ni kuwa akatimiza ahadi ya kutokumuua. Hii inaonesha Shetani naye ni mwaminifu mtimiza ahadi.
Sehemu nyingine ni pale Shetani anapomjaribu Yesu, ukiangalia vizuri ni kama vile Shetani ana nguvu na uwezo kuliko Yesu na ndio maana akawa anamjaribu na kumpa ahadi zake, ila Yesu kwavile ni mwaminifu kwa Mungu akazikataa.
Kuna mambo hayajakaa sawa.
Sawa,🤣🤣🤣🤣Baada ya kusoma tu neno kumhasi nimekomea hapo🤣🤣