Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,046
- 2,478
Astaghafirullah
Huyajui maandiko unasoma kwakutumia ufikiri wako mdogo..Biblia husomi kama gazeti la nipashe ...UDHIBITISHO HUU HAPA:
- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.
- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.
- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.
- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.
- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.
Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Angalia kichwa bumunda mwingine huyu..Tafuteni msaada sio mnaongea ushuziMungu na shetani hawana tofauti na Tom and Jerry.
Wote ni Fictional characters waliopo kuburudisha watu tu.
If Tom kills Jerry our favorite cartoon show is over same as if God kills Satan, Religion is over.
Unaelewa maana ya kuhasi?Baada ya kusoma tu neno kumhasi nimekomea hapo🤣🤣
Dini za uwongo zimetumia nguvu nyingi sana na zinamvutano mkubwa,kuficha Ile kweli ..Ila jua Hili Nuru inaangaza gizani nalo giza halikuishinda...ila lakuweka akilini niili UTAWAJUA KWA MAFUNDISHO YAO..Faith is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.
Ndio maana watu wana aminishwa na kupumbazwa kuamini vitu kichwa kichwa tu, pasipo kupima ukweli wa hicho wanacho ambiwa waamini.
Dini za uwongo zimetumia nguvu nyingi sana na zinamvutano mkubwa,kuficha Ile kweli ..Ila jua Hili Nuru inaangaza gizani nalo giza halikuishinda...ila lakuweka akilini niili UTAWAJUA KWA MAFUNDISHO YAOFaith is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.
Ndio maana watu wana aminishwa na kupumbazwa kuamini vitu kichwa kichwa tu, pasipo kupima ukweli wa hicho wanacho ambiwa waamini.
This kind of fallacy is called ad hominem.Angalia kichwa bumunda mwingine huyu..Tafuteni msaada sio mnaongea ushuzi
Thibitisha kwamba dini yako ndio ya kweli tu.Dini za uwongo zimetumia nguvu nyingi sana na zinamvutano mkubwa,kuficha Ile kweli ..Ila jua Hili Nuru inaangaza gizani nalo giza halikuishinda...ila lakuweka akilini niili UTAWAJUA KWA MAFUNDISHO YAO..
Nafatiliaga hoja zako unaakili fupi sana ..Ila sishangai kwamaana imeandikwa Mjinga huamini kila neno ila mwerevu hutafakari kila hatua..Methali 14:15This kind of fallacy is called ad hominem.
Badala ya kujibu hoja kwa hoja unaleta Viroja na kumshambulia mleta hoja.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.
Hujui biblia weweUDHIBITISHO HUU HAPA:
- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.
- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.
- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.
- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.
- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.
Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu wetu anahuruma sanaNdyo Mungu huyo huyo ambaye ukitenda dhambi hakuadhibu hapo hapo.
Sema huna majibu ya kujibu hoja zangu, Zaidi ya pumba zako za Biblia ulizopumbazwa huko kichwani mwako.Nafatiliaga hoja zako unaakili fupi sana
Unaleta hekaya za vitabuni huko zisizo na uthibitisho wowote ule...Ila sishangai kwamaana imeandikwa Mjinga huamini kila neno ila mwerevu hutafakari kila hatua..Methali 14:15
Thibitisha kwamba dini yako ndio
Sawa..Icho ulichokalia darasan ndo kina maana sio😂😂😂😂 Bila shaka nyie ndo wale mliodanganywa kuwa binadam alitoka kwa nyani..Sema huna majibu ya kujibu hoja zangu, Zaidi ya pumba zako za Biblia ulizopumbazwa huko kichwani mwako.
Unaleta hekaya za vitabuni huko zisizo na uthibitisho wowote ule.
Zilizo andikwa kupumbaza wajinga kama wewe.
Mungu gani mwenye huruma anashindwa kuwasaidia maelfu ya watu hasa watoto na wanawake wanaoteseka Duniani na kufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili?Mungu wetu anahuruma sana
Uuuuu hii imekuingia na imeuma mbona unahasira za gafla😂😂😂😂😂😂😂Sema huna majibu ya kujibu hoja zangu, Zaidi ya pumba zako za Biblia ulizopumbazwa huko kichwani mwako.
Unaleta hekaya za vitabuni huko zisizo na uthibitisho wowote ule.
Zilizo andikwa kupumbaza wajinga kama wewe.
Kuna sehemu nimetaja binadamu ametokana na nyani?Sawa..Icho ulichokalia darasan ndo kina maana sio😂😂😂😂 Bila shaka nyie ndo wale mliodanganywa kuwa binadam alitoka kwa nyani..
Jikite kwenye mada inavyosema.Uuuuu hii imekuingia na imeuma mbona unahasira za gafla😂😂😂😂😂😂😂
Ooooh pole ni kweli inaumiza ila Sio Mungu husababisha haya yote...Mathayo 24:6-7 ukipata mda kasome Yesu alishaongelea haya..Mungu gani mwenye huruma anashindwa kuwasaidia maelfu ya watu hasa watoto na wanawake wanaoteseka Duniani na kufa kwa vita, njaa, magonjwa na majanga mbalimbali ya asili?
View attachment 3064311