Mungu Anampenda Shetani Zaidi ya Viumbe Vyake Vyote

MrfursaTZA

Member
Joined
Jul 26, 2024
Posts
29
Reaction score
94
UDHIBITISHO HUU HAPA:

- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.

- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.

- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.

- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.

- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.

Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mungu na shetani hawana tofauti na Tom and Jerry.

Wote ni Fictional characters waliopo kuburudisha watu tu.

If Tom kills Jerry our favorite cartoon show is over same as if God kills Satan, Religion is over.
Unafaa kuitwa "informer" Mkuu,Infoprenuer hujatoshea.Taarifa kubwa hizi.
Kuna Uzi mwembamba sana kati ya IMANI na UFAHAMU(consciousness).
Imani ikikuvaa unakuwa Zamwamwa,ndio maana watu wanaambiwa watume Milioni kumi Waponeshwe na Nabii!
Ajabu,AIBU.
 
UDHIBITISHO HUU HAPA:

- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.

- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.

- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.

- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.

- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.

Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Shetani naye akaja kukutana na Mohammed na akamkabidhi kanuni zake za maisha (Qur'an), yaani Waafrika tunachezewa sana akili na hatutaki tu kuamka.
 
UDHIBITISHO HUU HAPA:

- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.

- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.

- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.

- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.

- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.

Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo zote ni hadithi za kutungwa na watu tu.

Tena za zama za ujinga.
 
Mkuu watakwambia ulipaswa kusoma na kuelewa kupitia roho mtakatifu.

Ngoja watetezi waje hapa kukupa vifungu kutoka kwa king james
 
UDHIBITISHO HUU HAPA:

- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.

- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.

- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.

- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.

- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.

Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Umba dunia yako hata ya kufikirika tu halafu waumbe na wanadamu na shetani wako kisha ujiamulie jinsi ya kudeal nao.
 
UDHIBITISHO HUU HAPA:

- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.

- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.

- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.

- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.

- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.

Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Hii battle ni sawa na magenius wawili ambao walikuwa na almost uwezo unaolingana ila mmoja kati yao akaja na startup idea na akamshirikisha mwenzie na wakaamua kuungana kuifanya hiyo idea pamoja.

Lakini kama unavyojua watu wenye akili zisizotofautiana sana huwa ni ngumu kukaa pamoja kwasababu huwa hakuna anaekubali kujishusha.

Kwahiyo baada ya muda mambo yakawa ndivyo sivyo huyu akabaki na idea yake na huyu akaenda na njia zake then akaamua kutengeneza the same idea like ya rafiki yake ila akaiadvanve kidogo na kuingiza zile idea zake ambazo zilikua zinakataliwa kule.

Kwahiyo kwenye soko challenge ikawa kubwa hadi kufikia rafiki yake kuanza kumchafua kwa kumuita majina ya ajabu ajabu ili aonekane wa hovyo.

Na hii startup idea ilianzia hapa "NA TUMFANYE MTU KWA MFANO WETU" kwenye hili jopo la watu waliokaa kujadili Co-founder alikua huyo anaeitwa shetani.

Kwahiyo inaonekana hata uwepo wa hizi rangi tofauti tofauti hapa duniani hazipo kwa bahati mbaya.

Kuna original color ambayo iliumbwa mwanzo na kuna ile color ambayo iliumbwa na Co-founder na ndio maana uwezo wa hizi color unatofautiana kuna color Moja ni kama imependelewa sana kuliko color nyingine.

Kwahiyo uwezo wao unafanana na hakuna anaeweza kumdhuru mwenzie isipokua kila mmoja analinda alichokianzisha.

NB: haya ni mawazo tu kwa njia ya maandishi.
 
Unafaa kuitwa "informer" Mkuu,Infoprenuer hujatoshea.Taarifa kubwa hizi.
Kuna Uzi mwembamba sana kati ya IMANI na UFAHAMU(consciousness).
Imani ikikuvaa unakuwa Zamwamwa,ndio maana watu wanaambiwa watume Milioni kumi Waponeshwe na Nabii!
Ajabu,AIBU.
Faith is the training of the mind to ignore facts, evidences, logic and reasoning.

Ndio maana watu wana aminishwa na kupumbazwa kuamini vitu kichwa kichwa tu, pasipo kupima ukweli wa hicho wanacho ambiwa waamini.
 
UDHIBITISHO HUU HAPA:

- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.

- Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.

- Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.

- Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.

- Baada ya milenia, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) na kumwacha Shetani salama.

Watu wa Afrika tafadhali Tuamke bhana
Haya mambo na hizi story za kwenye dini ni sawa na za kina ananias edga na denis mpagaze 🤣🤣🤣🤣🤣
Pia usisahau kwa mjibu wa mambo yaliyo wazi, SHETANI wa Tanzania 🇹🇿 ana nguvu maradufu ukilinganisha na Mungu wa Tanzania 🇹🇿

Maombi ya watu wa makanisa hata na wale wa misikiti na masinagogi waliopo Tanzania 🇹🇿 yameshindwa kabisa kumfanya Mungu wanaemwabudu awaletee kiongozi wa taifa lao pendwa ambalo kwa mujibu ni zao la uumbaji wake, SHETANI yeye amekua akiplay part zake kila baada ya miaka mitano, kuteua viongozi waongoze taifa ambalo Mungu kaliumba na kulitelekeza

Watu wa misikiti na makanisa husubiri mapesa ya harambee kutoka kwa wanasiasa ambao ni zao la shetani na wala hawasituki,

Waumin hufurahia matunda pasipo kujari ,

Hii inathibitisha hata hawa waumini ni shetani kawaweka pale na kumpa nguvu yeye kuliko yule wanaemuimba kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom