Mungu ampe Rais Samia maisha marefu

Mungu ampe Rais Samia maisha marefu

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
850
Reaction score
2,962
Ili siku atakapo kuwa pembeni ya kiti ajute kwa alichokifanya kwa maslahi ya wengine.

Kuna siku na yeye atapiga simu kwa watu ambao sasahivi ni watu wake saana na hazitapokelewa.

Hataweza Tena kuwa na amri Wala kusikilizwa na mtu yoyote.

Nahapo ndipo atatamani muda urudi nyuma akutane hata na wafiwa awaombe msamaha na haitawezekana.

Maana hata akialika waandishi wa habari hawataenda kwake.

Marafiki wote mkwtaba wake unaisha 2030.
 
M

Maisha marefu gerezani
 
AONE TZ IMARA NZURI INAYOONGOZWA KWA MISINGI YA HAKI NA SHERIA TANZANIA YENYE AMANI NA FURAHA HAKUNA UTEKAJI MIUNGU WATU WALA UFISADI.TANZANIA INAYOONGOZWA NA CHADEMA NA VYAMA VYOTE KUWA NA USHNDANI WA HURU NA HAKI.
 
Ili siku atakapo kuwa pembeni ya kiti ajute kwa alichokifanya kwa maslahi ya wengine.

Kuna siku na yeye atapiga simu kwa watu ambao sasahivi ni watu wake saana na hazitapokelewa.

Hataweza Tena kuwa na amri Wala kusikilizwa na mtu yoyote.

Nahapo ndipo atatamani muda urudi nyuma akutane hata na wafiwa awaombe msamaha na haitawezekana.

Maana hata akialika waandishi wa habari hawataenda kwake.

Marafiki wote mkwtaba wake unaisha 2030.
maisha marefu hapana
 
Mimi mwenyewe ni miongoni mwa wanao muombea aishi miaka mingi mnoo Duniani....

Vijana wenzangu' msisahau kuacha kutumia ubini au majina ya ukoo kwa watoto wetu, maana likija la kutokea huko, hayo majina yanaweza kuwa terminated kwenye kila kitu.... Siku moja isiyo na jina
 
Ili siku atakapo kuwa pembeni ya kiti ajute kwa alichokifanya kwa maslahi ya wengine.

Kuna siku na yeye atapiga simu kwa watu ambao sasahivi ni watu wake saana na hazitapokelewa.

Hataweza Tena kuwa na amri Wala kusikilizwa na mtu yoyote.

Nahapo ndipo atatamani muda urudi nyuma akutane hata na wafiwa awaombe msamaha na haitawezekana.

Maana hata akialika waandishi wa habari hawataenda kwake.

Marafiki wote mkwtaba wake unaisha 2030.
Ndo Tanzania nayoijua mimi, ya upendo amani na kuheshimu Mamlaka.
 
Ili siku atakapo kuwa pembeni ya kiti ajute kwa alichokifanya kwa maslahi ya wengine.

Kuna siku na yeye atapiga simu kwa watu ambao sasahivi ni watu wake saana na hazitapokelewa.

Hataweza Tena kuwa na amri Wala kusikilizwa na mtu yoyote.

Nahapo ndipo atatamani muda urudi nyuma akutane hata na wafiwa awaombe msamaha na haitawezekana.

Maana hata akialika waandishi wa habari hawataenda kwake.

Marafiki wote mkwtaba wake unaisha 2030.
Haki itatendeka tu hata iweje!
 
Back
Top Bottom