Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
FB_IMG_17428181470198547.jpg
 
Mipango yote aliyopanga Mungu, binadamu aliivuruga.
Mungu haamini kinachotokea mbele yake.
Kuanzia mbinguni, alimuumba shetani akiwa mkamilifu, Mungu hakujua kama shetani atakuja kuasi.
Mwisho wa siku akaasi na kuondoka na rundo la malaika.
Duniani Mungu kamuumba binadam akiwa hana dhambi, mwisho wa siku binadamu amekula tunda na kupata dhambi. Hapo maana yake Mungu hajui kila kitu, alimuumba binadamu akiwa amekamilika lakini amekuja kuasi.
Imeenda mpaka kwenye Gharika ya Nuhu kwamba maasi yamezidi duniani akaangamiza kizazi cha watenda maovu kwa mafuriko,
Baada ya mafuriko dhambi kama kawaida tena zinaendelea!
Hapo maana yake Mungu mwenyewe hajui majibu na jinsi ya kudeal na wanadamu.

Yapo mengi Mungu alipanga hivi ila majibu yakaja vile.

Kwahiyo hata mbinguni uasi utatokea vile vile, maana hakuna project ya Mungu iliyofanikiwa 100%
 
Dooooh
Hakika wewe ni kiazi mbatata
 
Doh! Yani embu soma na uelewe, au umeishia la tatu kila kitu unasimuliwaga. Aliekuita kiazi mbatata hajakosea hata kidogo.
 
Mipango yote aliyopanga Mungu, binadamu aliivuruga.
Mungu haamini kinachotokea mbele yake.
Kuanzia mbinguni, alimuumba shetani akiwa mkamilifu, Mungu hakujua kama shetani atakuja kuasi.
Mwisho wa siku akaasi na kuondoka na rundo la malaika.
Duniani Mungu kamuumba binadam akiwa hana dhambi, mwisho wa siku binadamu amekula tunda na kupata dhambi. Hapo maana yake Mungu hajui kila kitu, alimuumba binadamu akiwa amekamilika lakini amekuja kuasi.
Imeenda mpaka kwenye Gharika ya Nuhu kwamba maasi yamezidi duniani akaangamiza kizazi cha watenda maovu kwa mafuriko,
Baada ya mafuriko dhambi kama kawaida tena zinaendelea!
Hapo maana yake Mungu mwenyewe hajui majibu na jinsi ya kudeal na wanadamu.

Yapo mengi Mungu alipanga hivi ila majibu yakaja vile.

Kwahiyo hata mbinguni uasi utatokea vile vile, maana hakuna project ya Mungu iliyofanikiwa 100%
Kweli binadamu anachanja mbuga ye anashangaa tu
 
Back
Top Bottom