Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

Bhas angekausha tu ili binadam waishi tu free yeye amue mwenyew ampe nan sio kusema ukiniomba nitakupa wakat tunaona watu wadini kibao wakilala njaa nawasioamin wakila bata
Huko kumwambia akaushe ni kumpangia,kwa hiyo bado naona unataka kumpangia mambo yake
 
Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
Usiongee tena hivi, MUNGU kubadilisha kitu ni nusu sekunde kila kitu kishakuwa kingine kabisa, ongea yote lakini usimguse MUNGU, sema tu MUNGU ni WA rehema na Neema sana anamuona kila mmoja.
 
Back
Top Bottom