Nngekuwa muislamu chap kwa haraka ungekuta nshajitoa muhanga, ww kuhaidiwa bikra 72 unadhani mchezo 😂Njoo tukuvalishe mabomu ukajitoe muhanga
Na mito ya pombe + mapipa ya asali😁Nngekuwa muislamu chap kwa haraka ungekuta nshajitoa muhanga, ww kuhaidiwa bikra 72 unadhani mchezo 😂
Ntafutie shekhe nataka kusilimu, hizi bahati sio za kuzikosa 🔥Na mito ya pombe + mapipa ya asali😁
HahahaNtafutie shekhe nataka kusilimu, hizi bahati sio za kuzikosa 🔥
😸😸😸😸Nimeishia la pili mkuu. Yeah kama mimi ni kiazi basi hata Mungu ni kiazi mbatata maana aliniumba kwa mfano wake.
Ungetaja na Jina lake kabisa ili anze kusoma na kufuatilia faili lako. Naona Una kiburi SanaMungu amefeli
Nimeishia la pili mkuu. Yeah kama mimi ni kiazi basi hata Mungu ni kiazi mbatata maana aliniumba kwa mfano wake.
Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
Mipango yote aliyopanga Mungu, binadamu aliivuruga.
Mungu haamini kinachotokea mbele yake.
Kuanzia mbinguni, alimuumba shetani akiwa mkamilifu, Mungu hakujua kama shetani atakuja kuasi.
Mwisho wa siku akaasi na kuondoka na rundo la malaika.
Duniani Mungu kamuumba binadam akiwa hana dhambi, mwisho wa siku binadamu amekula tunda na kupata dhambi. Hapo maana yake Mungu hajui kila kitu, alimuumba binadamu akiwa amekamilika lakini amekuja kuasi.
Imeenda mpaka kwenye Gharika ya Nuhu kwamba maasi yamezidi duniani akaangamiza kizazi cha watenda maovu kwa mafuriko,
Baada ya mafuriko dhambi kama kawaida tena zinaendelea!
Hapo maana yake Mungu mwenyewe hajui majibu na jinsi ya kudeal na wanadamu.
Yapo mengi Mungu alipanga hivi ila majibu yakaja vile.
Kwahiyo hata mbinguni uasi utatokea vile vile, maana hakuna project ya Mungu iliyofanikiwa 100%
Sasa ndo uandike mwandiko mkubwa namna hiyoNaomba ujitahidi uwe unasoma vitabu na kusikiliza documentary za mambo mbalimbali. Hapa nitajitahidi kujibu kila hoja yako japo kwa ufupi kabisa.
1. Mungu alimuumba Shetani akiwa mkamilifu, lakini akaasi.
➡️ Jibu: Mungu alimpa viumbe wake uhuru wa kuchagua (free will), ikiwa ni pamoja na Shetani. Kumbe uasi haukuwa kwa sababu Mungu hakujua, bali kwa sababu aliruhusu uhuru wa mapenzi. Hii haionyeshi udhaifu wa Mungu, bali upendo wake wa kweli—maana upendo wa kweli hauwalazimishi viumbe wake kumtii kwa nguvu.
2. Binadamu aliyeumbwa bila dhambi, akaasi Edeni.
➡️ Jibu: Huu ni mwendelezo wa zawadi ya "uhuru wa kuchagua." Mungu alijua uwezekano wa uasi, lakini hakutaka roboti—alitaka uhusiano wa hiari. Adamu na Hawa walichagua, si kwamba Mungu hakujua, bali aliruhusu kwa sababu ya mpango mkubwa zaidi wa wokovu.
3. Gharika ya Nuhu—kama Mungu ni mjuzi wa yote, kwa nini aumbe kizazi kitakachoangamizwa?
➡️ Jibu: Gharika ilikuwa hatua ya haki ya Mungu dhidi ya uovu, lakini pia ilionyesha rehema kwa Nuhu na familia yake. Mungu alijua hali ya moyo wa mwanadamu, na gharika ilikuwa sehemu ya mchakato wa historia ya wokovu, si dalili ya kushindwa.
4. Baada ya gharika, dhambi zinaendelea.
➡️ Jibu: Dhambi inaendelea kwa sababu mwanadamu bado ana uhuru wa kuchagua. Mungu hakumaliza historia kwa gharika, alibaki mwaminifu katika mpango wake wa kumleta Mkombozi (Yesu), ambaye ndiye njia ya kweli ya suluhisho la dhambi.
5. ''Hakuna project ya Mungu iliyofanikiwa 100%''
➡️ Jibu: Kwa mtazamo wa muda mfupi, ni rahisi kuona kama mambo hayajafanikiwa. Lakini kwa mtazamo wa milele, mpango wa Mungu uko hai na unaendelea. Mafanikio si kutokuwepo kwa matatizo, bali ni mwisho wa mpango—ambapo maandiko yanaahidi kuwa mshindi ni Mungu mwenyewe.
HITIMISHO:
Mungu hajashindwa wala hazidiwi akili, bali anaruhusu uhuru wa viumbe wake kwa sababu ya upendo wa kweli, huku akiweka mipango ya wokovu kwa wale wanaochagua njia yake.
Uasi si ushahidi wa kushindwa, bali ni ushahidi wa uhuru wa kweli unaopewa kwa viumbe—na mwisho wake, Mungu bado yuko juu ya yote.
Tumia akil yako vizur jamaa yuko sahihi sana mungu mfano amesema chochote mtachoomba kwajina langu mtapata ila siokwel wanapewa aliowachagua yeyeDooooh
Hakika wewe ni kiazi mbatata
Sasa wewe unataka kumpangia katika mambo yakeTumia akil yako vizur jamaa yuko sahihi sana mungu mfano amesema chochote mtachoomba kwajina langu mtapata ila siokwel wanapewa aliowachagua yeye
Sasa ndo uandike mwandiko mkubwa na
Nimepunguza mkuu.Sasa ndo uandike mwandiko mkubwa namna hiyo
Bhas angekausha tu ili binadam waishi tu free yeye amue mwenyew ampe nan sio kusema ukiniomba nitakupa wakat tunaona watu wadini kibao wakilala njaa nawasioamin wakila bataSasa wewe unataka kumpangia katika mambo yake
😂😂😂😂😂Dooooh
Hakika wewe ni kiazi mbatata