Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
hukumuelewa my dear!yani hapo anamaanisha mkewe alimuona enzi hizo mtoa mada akiwa na miaka 2 na mke wake ndio ilikuwa sherehe ya kumtoa 40 baada ya kuzaliwa!kwa ufafanuzi zaidi ni kwamba jamaa alihudhuria sherehe ya mkewe akiwa anatoka 40,enzi hizooo ye ana miaka mi2.umemsoma sasa?
How?Unamuona mkeo una miaka miwili?Unataka kuniambia waliohudhuria matukio ya namna hii wameolewa/oa na hao?Unless unifafanuli alivyo "muona" huyo mkewe utakua unanidanganya!