- Thread starter
- #21
Alichosema Mungai pamoja na mapungufu yake ni kweli, kama tuna kumbukumbu nzuri Kikwete alivyoingia alisema shule zipo tayari sasa ni mda wa kutafuta walimu, ndo vijana wa form six walifundishwa kwa wiki sita wakaenda kufundisha( aka Voda fasta)...
ni kweli mungai aliharibu lakini kuharibu kwake hakumpunguzii sifa za kumkosoa lowasa kwa propaganda anazofanya