Muna love ni billionea?
Hata Jokate tuliambiwa ni bilionea
Leo anapata mshahara wa DC
Weka sawa Bwana sauti ni kubwa sanabongo mtu anaeza itwa billionea ila kumbe ni mdangdju
Kwahiyo wale viongozi walikwenda kufufuwa maiti ya baba yake?Kuwa DC ni prestige
Huoni anavyopigiwa salute.
Huoni kwenye msiba wa babake viongozi walivyopishana.
Kuwa DC ni prestige
Huoni anavyopigiwa salute.
Huoni kwenye msiba wa babake viongozi walivyopishana.
Munalove huyu ninayemjua mimi huyu leo anaitwa bilionea? Mkuu unamfahamu Munalove au unamuona tu kwenye post za insta? Achilia mbali kuwa Billionea wa tshs hata umilionea usiyozidi 5 mls kuna muda unampa shida kweli kweli.Bilionea huyu tofauti na wengine ana roho ya kipekee katika kusaidia Wasanii (wanamuziki na waigizaji) pia amekua akisaidia watoto wenye matatizo ya kiafya kupitia taasisi yake (Foundation). Nikutakie heri ya mwaka 2021.
PENDEKEZO: Tunaomba anzisha hospitali ya kusaidia watoto (Muna Children's Hospital) ili ufikie wengi
Hivi Trump ni bilionea kweli au utapeli?Huwezi ukawa Billionare ukawa DC...nafasi hizi za kuteuliws na kupata salary
Ww ni mjinga sijawi kuona kama weweKuwa DC ni prestige
Huoni anavyopigiwa salute.
Huoni kwenye msiba wa babake viongozi walivyopishana.
HahahahahaHata Jokate tuliambiwa ni bilionea
Leo anapata mshahara wa DC