Naomba isomeke KULITEKELEZA..sorry manake kiswahili cha kusema na kuandika ni vitu viwili tofauti....Wana MMU salaam!
Nina jirani yangu ambaye mkewe ni rafiki ya wife wangu..of coz mie kwangu 'pilau' namaanisha picha za wakubwa sio issue yaan ninazo za kumwaga na huwa tunatizamaga sana na wife ..sasa huyu Mke wa Rafiki yangu inaonekana mie nikiwa sipo huwaga anakuja kucheki na wife hapa home kwangu. Katika Stori zao yule mke wa Jirani kashangaa sana kwamba mimi nazipenda na huwa tunaangalia pamoja na wife.
Huyu Shemeji yangu kamwambia wife kuwa alishawahi mshauri mumewe anunue akamwambia kuwa hazifai kwa m'ke aliyeko kwenye ndoa. Sasa eti kwa kuwa mie nafahamiana na mumewe kamwambia wife eti mie nikambembeleze mumewe kwa kutumia uzoefu wangu ili na yeye awe anaangalia home kwake na mumewe
Mtihani ni Jinsi ya KULITELEKEZA ili somo make mshkaji anaonekana mtu wa Misimamo..wadau nifanyeje hapa au mimi mwenyewe kucheki na wife nakosea???..msaada plz!!!
Mkuu naona hapa la kutekeleza ni kumuoa mke wa jirani yako....dalili zote zipo apo
..Wana MMU salaam!
Nina jirani yangu ambaye mkewe ni rafiki ya wife wangu..of coz mie kwangu 'pilau' namaanisha picha za wakubwa sio issue yaan ninazo za kumwaga na huwa tunatizamaga sana na wife ..sasa huyu Mke wa Rafiki yangu inaonekana mie nikiwa sipo huwaga anakuja kucheki na wife hapa home kwangu. Katika Stori zao yule mke wa Jirani kashangaa sana kwamba mimi nazipenda na huwa tunaangalia pamoja na wife.
Huyu Shemeji yangu kamwambia wife kuwa alishawahi mshauri mumewe anunue akamwambia kuwa hazifai kwa m'ke aliyeko kwenye ndoa. Sasa eti kwa kuwa mie nafahamiana na mumewe kamwambia wife eti mie nikambembeleze mumewe kwa kutumia uzoefu wangu ili na yeye awe anaangalia home kwake na mumewe
Mtihani ni Jinsi ya KULITELEKEZA ili somo make mshkaji anaonekana mtu wa Misimamo..wadau nifanyeje hapa au mimi mwenyewe kucheki na wife nakosea???..msaada plz!!!
Brother, Jifanye kama haujui kinachoendelea kwenye hiyo familia na wala usije ukaingilia kutoa usaidizi au ushauri wa kuangalia hiyo mikanda ya PILAU ambayo kimsingi haina maana. Utaichonganisha an pengine kuibomoa familia ya watu.
Kwa kifupi, potezea.
ushauri mwingine ni kama mganga wa jadiMkuu naona hapa la kutekeleza ni kumuoa mke wa jirani yako....dalili zote zipo apo
Hapo kwenye Red mkuu sijakusoma vizuri..yaani ni upuuzi hata mimi kuangalia au ni upuuzi kwenda kumshauri jirani yangu nae aangalie???kama mtu ambaye wanapika na kupakua kitandani hawezi kumshauri mumewe wewe unaenda kwa mwanaume mwenzako kumshauri aishi utakavyo wewe au kwa nini ukubali kuwa kibaraka wa mke wa jirani yako???
acha upuuzi huo
- kuna ulazima wa huyo jirani yako kuangalia hizo movie za utupu ???
- je atafaidika nazo nini ???
- zitamuongezea nini katika maisha ya kila siku
kaa mbali kabisa usiingilie ya maisha ya wengine utaleta ugomvi wa hatari