Mumewe hapendi..mie naanzaje?

tafuta siku muangalie wote watatu,mkeo, wewe na shoga yake,mkiishia kwenye threesome mtajiju.
 
..Wana MMU salaam!
Nina jirani yangu ambaye mkewe ni rafiki ya wife wangu..of coz mie kwangu 'pilau' namaanisha picha za wakubwa sio issue yaan ninazo za kumwaga na huwa tunatizamaga sana na wife ..sasa huyu Mke wa Rafiki yangu inaonekana mie nikiwa sipo huwaga anakuja kucheki na wife hapa home kwangu. Katika Stori zao yule mke wa Jirani kashangaa sana kwamba mimi nazipenda na huwa tunaangalia pamoja na wife.
Huyu Shemeji yangu kamwambia wife kuwa alishawahi mshauri mumewe anunue akamwambia kuwa hazifai kwa m'ke aliyeko kwenye ndoa. Sasa eti kwa kuwa mie nafahamiana na mumewe kamwambia wife eti mie nikambembeleze mumewe kwa kutumia uzoefu wangu ili na yeye awe anaangalia home kwake na mumewe
Mtihani ni Jinsi ya KULITELEKEZA ili somo make mshkaji anaonekana mtu wa Misimamo..wadau nifanyeje hapa au mimi mwenyewe kucheki na wife nakosea???..msaada plz!!!

kiswahili kinakua jamani,siku hizi pono inaitwa pilau? Du!
 
Sio usiende kumshawishi jirani yako, bali pia hata mke wake mpige marufuku asije kuangalia hiyo Pilau kwako.
TAKE CARE!
 
Piece of advice, kaka usiwaingilie kabisa, utaenda kwa nia njema but waweza kugeuziwa kibao, utapata makubwa bure mana jamaa anaweza kukufikiria vibaya unatembea na mkewe kwani mambo yao ya ndani hivyo umejuaje? hatakubali kwamba mkewe kamueleza mkeo. watch out!
 
tafuta siku muangalie wote watatu,mkeo, wewe na shoga yake,mkiishia kwenye threesome mtajiju.

Nadhani ndicho ambacho huyo mke wa jirani yake anachokitaka. Hakuna kingine! Yaani kuna kila dalili za huyu jamaa kumtafuna mke wa jirani yake!
 
..Wana MMU salaam!
Nina jirani yangu ambaye mkewe ni rafiki ya wife wangu..of coz mie kwangu 'pilau' namaanisha picha za wakubwa sio issue yaan ninazo za kumwaga na huwa tunatizamaga sana na wife ..sasa huyu Mke wa Rafiki yangu inaonekana mie nikiwa sipo huwaga anakuja kucheki na wife hapa home kwangu. Katika Stori zao yule mke wa Jirani kashangaa sana kwamba mimi nazipenda na huwa tunaangalia pamoja na wife.
Huyu Shemeji yangu kamwambia wife kuwa alishawahi mshauri mumewe anunue akamwambia kuwa hazifai kwa m'ke aliyeko kwenye ndoa. Sasa eti kwa kuwa mie nafahamiana na mumewe kamwambia wife eti mie nikambembeleze mumewe kwa kutumia uzoefu wangu ili na yeye awe anaangalia home kwake na mumewe
Mtihani ni Jinsi ya KULITELEKEZA ili somo make mshkaji anaonekana mtu wa Misimamo..wadau nifanyeje hapa au mimi mwenyewe kucheki na wife nakosea???..msaada plz!!!

Nikihisi umeshauriwa na mke wangu uje kwangu naanza na wewe! Ntakucharanhga
 
Kwanza wewe mwenyewe hauko sahihi kwa kuangalia picha hizo. Hebu jiulize zinakusaidia nini? Usipoziangalia unakosa nini? Na ukiziangalia unapata nini?? Naamini wewe ni mwanamume rijali na unaweza kuishi kwa kufanya mapenzi yatakayokufurahisha na mkeo bila kuangalia mapicha hayo. Pamoja na hayo, nakushauri usimweleze lolote na usijiingize kuzungumzia mapicha ya ngono na mke au mume wa jirani yako. Yatakayokupata utajuta. Usithubutu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom