Mumewe hapendi..mie naanzaje?

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
..Wana MMU salaam!
Nina jirani yangu ambaye mkewe ni rafiki ya wife wangu..of coz mie kwangu 'pilau' namaanisha picha za wakubwa sio issue yaan ninazo za kumwaga na huwa tunatizamaga sana na wife ..sasa huyu Mke wa Rafiki yangu inaonekana mie nikiwa sipo huwaga anakuja kucheki na wife hapa home kwangu. Katika Stori zao yule mke wa Jirani kashangaa sana kwamba mimi nazipenda na huwa tunaangalia pamoja na wife.
Huyu Shemeji yangu kamwambia wife kuwa alishawahi mshauri mumewe anunue akamwambia kuwa hazifai kwa m'ke aliyeko kwenye ndoa. Sasa eti kwa kuwa mie nafahamiana na mumewe kamwambia wife eti mie nikambembeleze mumewe kwa kutumia uzoefu wangu ili na yeye awe anaangalia home kwake na mumewe
Mtihani ni Jinsi ya KULITELEKEZA ili somo make mshkaji anaonekana mtu wa Misimamo..wadau nifanyeje hapa au mimi mwenyewe kucheki na wife nakosea???..msaada plz!!!
 
Naomba isomeke KULITEKELEZA..sorry manake kiswahili cha kusema na kuandika ni vitu viwili tofauti..
 
Jitoe usifanye hilo swala utajipatia picha mbaya kwa mtu kama huyo kutokana na misimamo yake.Angekuwa wa kukubali angemkubalia mkewe kwa sababu hizo movie zina maslahi kati yao wenyewe ndani ya ndoa yao na sio kwa mtu wa nje kama wewe.
 
Brother, Jifanye kama haujui kinachoendelea kwenye hiyo familia na wala usije ukaingilia kutoa usaidizi au ushauri wa kuangalia hiyo mikanda ya PILAU ambayo kimsingi haina maana. Utaichonganisha an pengine kuibomoa familia ya watu.
Kwa kifupi, potezea.
 
shkamoo kaka! ushauri nasaha achana nao, ww simamia ile kampuni yenu ya event planners,wanaunganishia tenda ya sendoff ya jk akiachia ngazi 2015
Mkuu naona hapa la kutekeleza ni kumuoa mke wa jirani yako....dalili zote zipo apo
 
wako tayari muda wote
us.jpg
 
..Wana MMU salaam!
Nina jirani yangu ambaye mkewe ni rafiki ya wife wangu..of coz mie kwangu 'pilau' namaanisha picha za wakubwa sio issue yaan ninazo za kumwaga na huwa tunatizamaga sana na wife ..sasa huyu Mke wa Rafiki yangu inaonekana mie nikiwa sipo huwaga anakuja kucheki na wife hapa home kwangu. Katika Stori zao yule mke wa Jirani kashangaa sana kwamba mimi nazipenda na huwa tunaangalia pamoja na wife.
Huyu Shemeji yangu kamwambia wife kuwa alishawahi mshauri mumewe anunue akamwambia kuwa hazifai kwa m'ke aliyeko kwenye ndoa. Sasa eti kwa kuwa mie nafahamiana na mumewe kamwambia wife eti mie nikambembeleze mumewe kwa kutumia uzoefu wangu ili na yeye awe anaangalia home kwake na mumewe
Mtihani ni Jinsi ya KULITELEKEZA ili somo make mshkaji anaonekana mtu wa Misimamo..wadau nifanyeje hapa au mimi mwenyewe kucheki na wife nakosea???..msaada plz!!!

Utakorofishana na jirani kama yeye ni muumini mzuri wa Imani
Anaweza kukuhisi huwa mnaangalia wote na mke wake achana na mpango huo.
Siku hizi mwanaume akiona mwanamke anabinuka style ambazo hajawahi pewa anatilia shaka.
Fikiria wewe mwenyewe mke wako siku anachukua mashine anailengesha kwenye tigo utajisikiaje?
 
Brother, Jifanye kama haujui kinachoendelea kwenye hiyo familia na wala usije ukaingilia kutoa usaidizi au ushauri wa kuangalia hiyo mikanda ya PILAU ambayo kimsingi haina maana. Utaichonganisha an pengine kuibomoa familia ya watu.
Kwa kifupi, potezea.

ushauri wa maana sana huu.

POTEZEA
 
kama mtu ambaye wanapika na kupakua kitandani hawezi kumshauri mumewe wewe unaenda kwa mwanaume mwenzako kumshauri aishi utakavyo wewe au kwa nini ukubali kuwa kibaraka wa mke wa jirani yako???
  • kuna ulazima wa huyo jirani yako kuangalia hizo movie za utupu ???
  • je atafaidika nazo nini ???
  • zitamuongezea nini katika maisha ya kila siku
acha upuuzi huo
 
mhhh makubwa haya msiingilie mipangilio ya watu, wengine hawahitaji kuangalia porno ndio wasimamishe, wako tayari muda wote
..Hivi kumbe wengine wanaitumia hii kama 'catalyst'??..mie huwa najifunzaga tu mautundu..
 
kila mtu anakuwa na ustaarabu wake nyumbani kwake-huyo jirani yeye kaamua asiangalie na mke wake hiyo mambo,cha kufanya ni bora umuache hivyohivyo maana yeye hapendi na kaamua kuishi bila kuangalia.
Kumwambia kunaweza vunja heshima iliyopo baina yenu.
 
Hapa unatakaka ushauri gani na wakati majibu unayo mwenyewe chukulia mfano jirani yako anakufata alafu anakwambia mkeo anapenda kweli picha za x uwe unaangalia nae siku mojamoja we utajisikiaje
 
kama mtu ambaye wanapika na kupakua kitandani hawezi kumshauri mumewe wewe unaenda kwa mwanaume mwenzako kumshauri aishi utakavyo wewe au kwa nini ukubali kuwa kibaraka wa mke wa jirani yako???
  • kuna ulazima wa huyo jirani yako kuangalia hizo movie za utupu ???
  • je atafaidika nazo nini ???
  • zitamuongezea nini katika maisha ya kila siku
acha upuuzi huo
Hapo kwenye Red mkuu sijakusoma vizuri..yaani ni upuuzi hata mimi kuangalia au ni upuuzi kwenda kumshauri jirani yangu nae aangalie???
 
kaa mbali kabisa usiingilie ya maisha ya wengine utaleta ugomvi wa hatari

alafu kuna ndoa zingine watu makauzu uso nginja...watizama porn ikifika sodomizing na nyie hampend wat do u do? Mnaskip? Khaaa! Kuna movie nzuri za wanandoa kutizama hata kama ni action,love stories etc lakini sio Porn na AJE ATHUBUTU kumwombea atajuta..na kuna uaddict flani ukiwa mtazamaji sana wa mambo hiyo then huyu jamaa kaathirika ye na mamsapu wake jaman mwacheni mke wa mwenzenu akiaddictika mmechangia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom