JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
We potezea mwisho uambie we ndo unamfundisha kuangalia
..Mkuu kama Jibu la hili swali lingekuwa Simple like that nisingelileta humu mkubwa...Yaani kinachoonekana hapa ni kama vile nimshawishi Jirani Umuhimu wa Kuangalia Porno bila kuonyesha kwamba lnampigia debe mkewe!!..yaan anachotaka shemeji ni 'Jinsi' ya Kumshawishi mtuwake..of which sidhani inaweza kuwa kitoto kiasi hicho ulichosema mkuu...Hapa unatakaka ushauri gani na wakati majibu unayo mwenyewe chukulia mfano jirani yako anakufata alafu anakwambia mkeo anapenda kweli picha za x uwe unaangalia nae siku mojamoja we utajisikiaje
Hapo kwenye Red mkuu sijakusoma vizuri..yaani ni upuuzi hata mimi kuangalia au ni upuuzi kwenda kumshauri jirani yangu nae aangalie???
Wengi tu wanaitumia kama catalyst...Hivi kumbe wengine wanaitumia hii kama 'catalyst'??..mie huwa najifunzaga tu mautundu..
Hapo kwenye Red mkuu...wewe umeziona ni dalili gani???
potezea tu, haina maana.
Kwa nini uangalie picha wakati wife yupo na unaweza wakati wowote ukapata kitu live. Hii ni sawa na kula ugali kwa picha ya samaki wakati samaki wapo ndani ni suala la kupika na kula tu.