Kaniomba niende kwake akanitambulishe kama binamu yake kwa mumewe

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
(Jana Jioni). Huyu mwanamke tumezoeana sana. Mazoea yetu yalianzaia kwenye biashara tu. Kwa kuwa niko mchangamfu na mcheshi, mwanamke huyu kajikuta amezama kwenye dimbwi zito la mahaba

Katika pekenyua yangu ya hapa na pale, nikagundua kuwa ni mke wa mtu. Kaniambia kuwa mumewe si mtu wa nyumbani. Hivyo niende kwake akanitambulishe kwa mumewe kama Binamu, ili siku zijazo niwe nakwenda kumtembelea kwake

Wanawake ni wauaji asikwambie mtu. Eti mimi na midevu hii nikatambulishwe kama binamu wa kibinti kidogo kidogo hivi (Binamu kinyama cha Hamu). Hata uwe mwanaume mpole kiasi gani, kwa hili lazima ushtuke. Binti kasahau kabisa kuwa hapa duniani kuna jera na Gesti, kuna ukavu na vilainishi

Nimemwambia siwezi. Nimemuomba yeye ndiye aje kwangu kunitembelea pale itakapombidi. Nimemwambia kuwa "Naishi Gesti".

Na hapo bado sijamchapa na muhogo wa Jang'ombe. Maneno tu na tabasamu tayari lishamdatisha. Kwenye biashara yangu hakosi kuja zaidi ya mara tatu kwa siku akiwa kavalia nguo tofauti tofauti

Wanawake ni wauaji kwa kweli
 
Mali ya jirani ni "HARAMU".
Usijekusema hukuambiwa,unaanzaje kuzoeana na mke wa mtu kiasi cha kuwaza kumpeleka room?

Mke wa mtu sumu,usijione maziwa.
 
Usikubali kuingia huo mtego vinginevyo kubali kabisa hizo tako kupakwa vilainishi
 
Wote hamna akili
 
Mali ya jirani ni "HARAMU".
Usijekusema hukuambiwa,unaanzaje kuzoeana na mke wa mtu kiasi cha kuwaza kumpeleka room?

Mke wa mtu sumu,usijione maziwa.
Hapana mkuu. Nina kawaida ya kuwachangamkia wateja ili kuwateka kisaikolojia. Sikuwaza kama yangefikia mahala
 
Hyo biashara ataifilisi yote na hizo nguo tatu tofauti tofauti na utarudi singids kulima alizeti
 
(Jana Jioni). Huyu mwanamke tumezoeana sana. Mazoea yetu yalianzaia kwenye biashara tu. Kwa kuwa niko mchangamfu na mcheshi, mwanamke huyu kajikuta amezama kwenye dimbwi zito la mahaba

Katika pekenyua yangu ya hapa na pale, nikagundua kuwa ni mke wa mtu. Kaniambia kuwa mumewe si mtu wa nyumbani. Hivyo niende kwake akanitambulishe kwa mumewe kama Binamu, ili siku zijazo niwe nakwenda kumtembelea kwake

Wanawake ni wauaji asikwambie mtu. Eti mimi na midevu hii nikatambulishwe kama binamu wa kibinti kidogo kidogo hivi (Binamu kinyama cha Hamu). Hata uwe mwanaume mpole kiasi gani, kwa hili lazima ushtuke. Binti kasahau kabisa kuwa hapa duniani kuna jera na Gesti, kuna ukavu na vilainishi

Nimemwambia siwezi. Nimemuomba yeye ndiye aje kwangu kunitembelea pale itakapombidi. Nimemwambia kuwa "Naishi Gesti".

Na hapo bado sijamchapa na muhogo wa Jang'ombe. Maneno tu na tabasamu tayari lishamdatisha. Kwenye biashara yangu hakosi kuja zaidi ya mara tatu kwa siku akiwa kavalia nguo tofauti tofauti

Wanawake ni wauaji kwa kweli

Mnachokitafuta mtakipata
 
Vijana acheni uoga,kufa mara Moja,badae uje ulaumu hapa uliichezea bahati,ila tambua odds za kupakwa vilainishi ni kubwa so tembea nacho kabisa just in case.Good luck nigaa
 
(Jana Jioni). Huyu mwanamke tumezoeana sana. Mazoea yetu yalianzaia kwenye biashara tu. Kwa kuwa niko mchangamfu na mcheshi, mwanamke huyu kajikuta amezama kwenye dimbwi zito la mahaba

Katika pekenyua yangu ya hapa na pale, nikagundua kuwa ni mke wa mtu. Kaniambia kuwa mumewe si mtu wa nyumbani. Hivyo niende kwake akanitambulishe kwa mumewe kama Binamu, ili siku zijazo niwe nakwenda kumtembelea kwake

Wanawake ni wauaji asikwambie mtu. Eti mimi na midevu hii nikatambulishwe kama binamu wa kibinti kidogo kidogo hivi (Binamu kinyama cha Hamu). Hata uwe mwanaume mpole kiasi gani, kwa hili lazima ushtuke. Binti kasahau kabisa kuwa hapa duniani kuna jera na Gesti, kuna ukavu na vilainishi

Nimemwambia siwezi. Nimemuomba yeye ndiye aje kwangu kunitembelea pale itakapombidi. Nimemwambia kuwa "Naishi Gesti".

Na hapo bado sijamchapa na muhogo wa Jang'ombe. Maneno tu na tabasamu tayari lishamdatisha. Kwenye biashara yangu hakosi kuja zaidi ya mara tatu kwa siku akiwa kavalia nguo tofauti tofauti

Wanawake ni wauaji kwa kweli

Kakuona unaakili ndogo kama yake.

Ni kawaida Mwanamke akikuchukulia Chini ya kiwango kukwambia maneno kama hayo.

Pia amekuona huna kazi ya kufanya na haupo busy ndio maana akakuambia hivyo.
Ungekuwa mwanaume ambaye upo busy na shughuli zako za kiuchumi ninauhakika asingekuambia haya.
 
Back
Top Bottom