Habari zenu wana jamii form, mimi ni mgeni umu ndani naombeni ushirikiani wenu
Nnarafiki yangu ameolewa na anawatoto watatu, tatizo lake mumewake amekua mlevi sana kiasi kwamba hata akitoka kazini anapitia bar anarudi nyumbani akiwa amelewa, siku za weekiend ndio kabisaa anarudi saakumi za usiku wakati mwingine saa kuminambili za asubuhi, akimuuliza anamjibkwadharau nakumwambia yeye hatakaa abadilike iyo ndo tabia yake, nakama anaona awezi aondoke, jamani uyu rafiki yangu amechanganyikiwa ajui afanyaje naombeni mumsaidie uyu rafiki yangu jamani.
Mimi naamini tabia ya mtu haiwezi tu kubadilika tu ghafla lazima tu kuna sababu...pengine huyo rafiki yako ndio sababu ya mumewe kutumbukia kwenye ulevi....maana muda mwingine wanawake huwa na maudhi sana..na mtu anaona hakuna njia nyingine zaidi ya kulewa....jaribu kukaa na rafiki yako na akueleze kwa kina naaamini kuna mambo kibao tu amekuficha kwa sababu ya kero ya ulevi wa mumewe..
Yawezekana kwenye ndoa kuna mambo mengi sana......kuna jamaa mmoja kila siku unamkuta baa analewa na muda wa kwenda nyumbani saa 8,9 kila siku siku moja tukamwuliza daahh ni balaa
Mbona umeishia katikati vipi, au tatizo bundle?
Mkewekaiona aruditenaMbona umeishia katikati vipi, au tatizo bundle?
maishayandoa niwatuwawili,,tungejuarafikiyo uamuziwake upi else mnawezakuwa misukule kutoamawazo aendeleekuvumilia kumbeashaanza kupeleka navyombo kwao,,tupewazo lakekwanzahabari zenu wana jamii form, mimi ni mgeni umu ndani naombeni ushirikiani wenu nnarafiki yangu ameolewa na anawatoto watatu, tatizo lake mumewake amekua mlevi sana kiasi kwamba hata akitoka kazini anapitia bar anarudi nyumbani akiwa amelewa,
siku za weekiend ndio kabisaa anarudi saakumi za usiku wakati mwingine saa kuminambili za asubuhi, akimuuliza anamjibkwadharau nakumwambia yeye hatakaa abadilike iyo ndo tabia yake, nakama anaona awezi aondoke,
jamani uyu rafiki yangu amechanganyikiwa ajui afanyaje naombeni mumsaidie uyu rafiki yangu jamani.
Habari zenu wana jamii form, mimi ni mgeni umu ndani naombeni ushirikiani wenu Nnarafiki yangu ameolewa na anawatoto watatu, tatizo lake mumewake amekua mlevi sana kiasi kwamba hata akitoka kazini anapitia bar anarudi nyumbani akiwa amelewa,
Siku za weekiend ndio kabisaa anarudi saakumi za usiku wakati mwingine saa kuminambili za asubuhi, akimuuliza anamjibkwadharau nakumwambia yeye hatakaa abadilike iyo ndo tabia yake, nakama anaona awezi aondoke,
Jamani uyu rafiki yangu amechanganyikiwa ajui afanyaje naombeni mumsaidie uyu rafiki yangu jamani.