Mume wangu ni mlevi sana

Mume wangu ni mlevi sana

Kabla yakuoana tabia ya huyo mumewe ilikuwaje??hapo ndo pakuanza kujiuliza
 
Kama pombe ameianza toka zamani mbona sasa unataka awache?akae nae chini akiwa sober mumewe amweleze, Kua huu Sio mda wa kuchezea pesa na mna Watoto.....
 
Dawa ya mlevi ni kumpuuza tu na kujifanya haoni tofauti, kuna kaka yangu ni mlevi vibaya mno na Mke anajitahidi kutomfatilia basi imemsaidia kumfanya wakati mwingine ajione anafanya vibaya, ajitahidi sana kutomgasi watoto Wa kike wanavumilia mengi labda kama anramdhuru ndo atafute njia nyingine.
 
ulevi unarudisha sana maendeleo nyuma........

kuna dawa za kienyeji wanasema unamwekea kwenye pombe anaacha mwenyewe.........
 
sasa aache pombe bia tutawauzia wakina nani??? acha aendelee kutumia kinywaji bhana ,
 
Mlevi kawaida yake ni kulala fofofo. Mwambie amvizie siku akilala fofofo avunje yai au anunue ....-15, kisha ampake kunakotokea kinyesi, alowanishe na suruali pande za nyuma, asubuhi awe wakwanza kuamka na kumshtua mumewe, kisha amuonyeshe hayo makitu na kujiliza kwamba mumewe kaingiliwa kunduleni mwake.
Baada ya siku chache akae naye chini, kwa upole na mahaba amsihi aache pombe, huku akikumbushia kisa cha jamaa kuingiliwa. Akiendelea na pombe ujue huyo mume si rizki.

Kutoka moyoni huu ushauri umenivutia sana!
 
amwombee tu kwa mungu, atabadilika hakuna kinachoshindikana.
 
Akuna chenye mwanzoo kikakosa mwisho. Akazane kumuombea kwa Mungu kwa dhati ataacha wengi mbona wameacha pia azidshe upendo na mapenz kwa mumewe a ahakikishe kutwa mume ni msafi wa kinywa,mwili na mavazi asisahau sokx,

boxa na viatu naavyo vinahitajika usafi wa juu zaid. Iko siku na saa yaja ataacha na wala asiondoke angangani kulea wanawe na ndoa yake. angekuwa malaya na michepuko kibaao angesemaje na watu tunapambana mpk kinaelewekaa...

Wewe sasa umeamua kuelezea Tabia za mume wako za uchafu uliokithili maana mtoa mada kaomba ushauri wa kumfanya aache pombe tu..eti mdomo, boksa na soksi....mbona kumkagua anapotoka haja kubwa ujamshauri...maana walevi hata kuchamba vizuri hawachambi..ha ha ha
 
babiii, Mkuu ipo misaada ya aina nyingi !!

1. Mazingira ya mkewe na ya nyumbani ni lazima yabadilike pawepo na peacefull of mind,utulivu na watoto kuwa maridadi !!

2. Maombi Full course, Chakula kizuri chenye harufu ya kuvuti.!!

3. Wawepo watu wakaribu na wakiwemo marafiki wa kazini (anaofanya nao kazi) kumsihii na kumpatia ushauri mwema !!

4. Mkewe amuonyeshe mawazo,michongo ya ujasirimali na kubuni biashara za kuongeza kipato kwa familia !!


Hayo tu, ataweza kugeuza mwelekeo na kujierudi.

hapo umenena..
 
Mlevi kawaida yake ni kulala fofofo. Mwambie amvizie siku akilala fofofo avunje yai au anunue ....-15, kisha ampake kunakotokea kinyesi, alowanishe na suruali pande za nyuma, asubuhi awe wakwanza kuamka na kumshtua mumewe, kisha amuonyeshe hayo makitu na kujiliza kwamba mumewe kaingiliwa kunduleni mwake.
Baada ya siku chache akae naye chini, kwa upole na mahaba amsihi aache pombe, huku akikumbushia kisa cha jamaa kuingiliwa. Akiendelea na pombe ujue huyo mume si rizki.

ushauri wako nimeupenda sana
 
pole minilijua alivikuoa amebadilika ,ila mbona unamuanika? ukichumbiwa ulikua hujui au ndio hamu ya kuolewa? mimi tuliachana baada yakujua anachepukia kwako .
 
Back
Top Bottom