Dada anaomba ushauri tumshauri jamani yamemfika shingoni

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,302
1,984
Naomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia, mbali na kumpost.

Natamani hata nimwachie bibi yake, nikazae mwingine na mwanaume mwingine huko, ila si mume wangu. Ninapiga sindano za uzazi wa mpango, wakati nikihangaika kutafuta mwanaume mwingine wa kuzaa naye, siwezi kuzaa tena na huyu mume wangu.

Shida ni kwamba baba yake anampenda mtoto wake hivyo hivyo, nikimuambia ishu ya kumpeleka kwa bibi yake, mpaka tunagombana, kwani hakuna sababu yoyote ile, nisiaidie nimuambieje ili akubali nimuondoe huyu mtoto hapa.

Nikiona marafiki zangu wakipost watoto wao mitandaoni, najikuta nakuwa na hasira, namfokea mwanangu, sijawahi kumpiga, ila najisikia vibaya ninavyomkasirikia. Mtoto hataki hata kunisogelea, nakuwa mkali, kana kwamba ananiogopa, anakua na amani baba yake tu akiwa nyumbani.

NB: Nachukia kuandika hizi stori, lakini zimekuwa nyingi, kama uko kama huyu Mama, tafuta msaada, haiuko sawa kabisa!
 
Mama ngedere amekuwa ni bora kuliko mama wa binadamu. Siku hizi kuna akina mama wanazidiwa hata upendo na malezi na wanyama.

Sasa mtoto wako, umemzaa mwenyewe, tena unasema anamfanana baba yake. Sasa kama aliona baba yake mbaya kwanini aliamua kuolewa naye. Aache ujinga. Unaolewa na mwanaume mweusi kama mimi sura ya kazi unataka uzae mtoto wmeupe mwenye nywele za shombe shombe wakati hata wewe nywele zako umezitia dawa na weupe wako wakununua dukani.

Ni ukosefu wa elimu
 
Naomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia, mbali na kumpost.

Natamani hata nimwachie bibi yake, nikazae mwingine na mwanaume mwingine huko, ila si mume wangu. Ninapiga sindano za uzazi wa mpango, wakati nikihangaika kutafuta mwanaume mwingine wa kuzaa naye, siwezi kuzaa tena na huyu mume wangu.

Shida ni kwamba baba yake anampenda mtoto wake hivyo hivyo, nikimuambia ishu ya kumpeleka kwa bibi yake, mpaka tunagombana, kwani hakuna sababu yoyote ile, nisiaidie nimuambieje ili akubali nimuondoe huyu mtoto hapa.

Nikiona marafiki zangu wakipost watoto wao mitandaoni, najikuta nakuwa na hasira, namfokea mwanangu, sijawahi kumpiga, ila najisikia vibaya ninavyomkasirikia. Mtoto hataki hata kunisogelea, nakuwa mkali, kana kwamba ananiogopa, anakua na amani baba yake tu akiwa nyumbani.

NB: Nachukia kuandika hizi stori, lakini zimekuwa nyingi, kama uko kama huyu Mama, tafuta msaada, haiuko sawa kabisa!
Mwambie afanye anachokitaka kwa sababu hatutaki kuwa washiriki wa upumbavu wake
 
images - 2023-11-28T082311.336.jpeg
 
Naomba nisaidie, sijui nafanya nini Kaka, mtoto wangu ni mbaya, ana miaka miwili halafu ni wa kike, yaani kafanana na baba yake kila kitu, mpaka naona aibu hata marafiki zangu kuja kunisalimia, mbali na kumpost.

Natamani hata nimwachie bibi yake, nikazae mwingine na mwanaume mwingine huko, ila si mume wangu. Ninapiga sindano za uzazi wa mpango, wakati nikihangaika kutafuta mwanaume mwingine wa kuzaa naye, siwezi kuzaa tena na huyu mume wangu.

Shida ni kwamba baba yake anampenda mtoto wake hivyo hivyo, nikimuambia ishu ya kumpeleka kwa bibi yake, mpaka tunagombana, kwani hakuna sababu yoyote ile, nisiaidie nimuambieje ili akubali nimuondoe huyu mtoto hapa.

Nikiona marafiki zangu wakipost watoto wao mitandaoni, najikuta nakuwa na hasira, namfokea mwanangu, sijawahi kumpiga, ila najisikia vibaya ninavyomkasirikia. Mtoto hataki hata kunisogelea, nakuwa mkali, kana kwamba ananiogopa, anakua na amani baba yake tu akiwa nyumbani.

NB: Nachukia kuandika hizi stori, lakini zimekuwa nyingi, kama uko kama huyu Mama, tafuta msaada, haiuko sawa kabisa!
Pole Kwa mind set we mama popote pale ulipo!!Uelewa wako wa genetics no mdogo!!

Ukuaji wa kiumbe chochote ni developmental na sio unavodhani!!

Uzuri wa muonekano was mtoto utotoni haikupi uhakika atakua hivyo alivyo akiwa mkubwa!Ashura alikua mzuri alipozaliwa nakumbuka lakin alipokua mkubwa hakua tishio tena!!!

Mimi sikua kivutio kiviile in my childhood na nilijiona hivyo Toka kwa wakubwa waliokuwepo coz ya comments zao!!lakini nilikua tishio Kwa mabinti in my college days!!!why!!? Developmental!!

Trust me huyo mtoto wako atakuja kuwa tishio Kwa vijana wakiume na kike baadae kimuonekano hasa akisha bypass adolescence!!

Mpende mwanao sana!acha unyanyapaa IPO siku utalia sana Kwa dhambi hiyo na hutokuja kujisamehe!!!

Mungu akuponye na hatred uliyoibeba!!
 
wewe una pepo sio bure! Kuita kiumbe cha Mungu kuwa kibaya hayo ni machukizo! Unatawaliwa na pepo la uzinzi mpendwa! Usijione wewe ni mzuri Acha kiburi cha uzima, kwani lazima umupost mtoto wako, Acha kutafuta sifa za kijinga, usione ni ufahari kujiposti au kupost watoto mtandaoni, ule ni ulimbukeni mtu mwenye akili sio wa kujipost mtandaoni au kuwapost watoto wake mtandaoni au mke au mme mtandaoni!! Tafuta kumfurahisha Mungu wala sio wanadamu!

note! Siku ukimrudisha huyo mtoto kwa bibi yake kwa ajili ya chuki yako binafsi ujue utakufa mapema kabisa, huyo mtoto wako wa pili hutamuona wewe nenda ufanye uzinzi upate mtoto wa kiuzinzi, kama utadumu naye! Usifikri Mungu ni mjinga kama wewe mpendwa! Shetani anatafuta timing tu!

nenda kwa wachungaji wa kiroho wakuombee hayo majini mahaba yakutoke! Maana ukifa na maovu hayo sehemu yako ni kwenye ziwa liwakalo moto na kiberiti! Mwamini Yesu uwe na uzima ndugu! Mungu

Mungu angekuwa anaangalia sura sijui kama wengi wangeenda mbinguni, sasa wewe unaangalia sura! Sio wewe ndugu ni shetani yupo ndani yako! Tafuta msaada wa kiroho
 
Back
Top Bottom