Mume wangu mvivu!

Kaunga ni wewe au miwani inanidanganya

Ni mimi Tamatheo, usisingizie miwani.
Wewe unafikiri afanyeje? Maana kama gym ameenda, sexy lingerie anavaa, kuongea na mumewe kaongea na jibu analopewa ni "hakuna tatizo", atafute kidumu? Kitu ambacho siwezi mshauri.

Au nawe unafikiri ni kosa la mdada????
 
Hali hii ilianza muda mfupi tu baada ya kufunga ndoa,kwa kweli nimejaribu kila ninaloliweza lakini hali haibadiliki.ninahisi uvumilivu umeanza kupungua ndio maana ninaomba ushauri wa ziada.

We Magori81 kosa ni lako wewe mwenyewe, hujui kuwa raha unajipa mwenyewe? mpe mautundu mwenzio utaona anavyorespond effectively. Hii inatakiwa kuanza asub na kuishia usiku. Furaha ya tendo la ndoa dalili yake huanza mapema kabisa kwa tabasamu, ukinuna tu jua siku si yako. Never complain, blame or lament, all are onto yourself. Ubarikiwe.
 

Nashukuru kama ni wewe, ila tumshauri amhamsishe mwenzie ili wawaone wataalamu wa afya kwani kuna wanaume wengi wana matatizo kama hayo na wengi huishia kudanganywa na wezi walioandika mabango kila kona ya TZ, huku wakitoa suluhisho la muda mfupi kisha hali inakuwa mbaya kuliko mwanzo. Kabla ya kwenda kwa hawa wataalam amchunguze mumewe bila kumwambia ili kujua kwa nini hali imekuwa hivi na kamwe asimlaumu kwani akifanya hivyo atamwongezea msongo wa mawazo na kuzima taa kabisa. "ILa wanaume na sisi tutoe ushirikiano kwa wake zetu hasa tunapopata malalamiko kama haya, tuache kuona aibu kwani aibu kubwa ni pale mke atakapochoka porojo za kila siku"
 

Hapo bold, nami nakuunga mkono sana. Mkeo ni part of you; talk to her, mueleze tatizo ni nini kwani atakuelewa na kukusaidia kuliko kumuacha na maswali/wakati mgumu. Mwishowe aanze kujiona yeye hafai (hatamanishi tena) kiasi kwamba akitokea jamaa akionesha kumtamani tu basi anashawishika kirahisi.

Mimi nilishamsaidia mtu aliyekuwa ana shida, na with no time things went back to normal. Kushare na mpenzio ni nusu ya ufumbuzi. We know you are not machines au robot so trust us jamani.
 
Inawezekana ni mchanganyiko wa vitu vingi ikiwemo imbalance ya sex drive kati yako (miaka 30) na mumeo (miaka 38).

Wakati wewe sex drive (libido) yako kuelekea 40s inaongezeka towards the peak, yeye alisha pita kwenye peak yake (probably in his late 20s or early 30s) na sasa ina decline. Kwa hiyo pengine haishangazi sana kusikia malalamiko yako. Mnaweza kwenda hospitali makapata ushauri wa kitabibu/kitalaamu kwa sababu kunaweza kuwa na matatizo mengine - na si suala la libido kushuka kwa kawaida- (mumeo anasema 'anachoka na majukumu kazi" - I read "stress"!) ambayo yanaweza kupatiwa ufumbuzi.
 
JF kweli kisima cha maarifa...wewe na Kiranga mmeishibisha sana hii thread...
BTW nimeona sehemu kama ulipatwa masahibu?..just accept my condolences if that was the case...

 
Last edited by a moderator:

Pole sana sist...bt we muombe MUNGU atakusaidia..sbbu jitihada haishindi kudra.!
 
Pole sana dada.

Usife moyo endelea kuupeleleza uhusiano wenu na uwe karibu sanasanasana tena sana na mumeo kwa umri huo siyo rahisi

mwanaume achoke kupiga kazi!..
 
Ni Kuacha maneno yanayokera tu... Si kila kukicha natafuta mwanaume mwingine maana wewe huwezi kazi... NDO NINI?
 

Sasa wewe hapa kwenye blue text unaonekana kama unalipiza 'kisasi' kwa wanaume waliokukera kwenye thread nyingine.
Hapa huyu dada genuinely anaomba msaada kwa matatizo aliyonayo.
Mshaurini na mpeni msaada mnaoweza ili aondokane na matatizo aliyonayo.
Mkimshauri kwa hasira ili kuwakomoa wanaume, mnaweza kumharibia kabisa.
 

I was just trying to make a point, you are right!

lakini baadaye nilimcouncil kwa kumuambia unlike watu wengi wanavyosema; it is NOT HER FAULT na kumshauri kuwa kwa kuwa amefanya every thing HUMANLY POSSIBLE basi apige magoti na kuomba devine intervention au nikiazima maneno ya mtu wa Mungu T.B Joshua "If you run out of rope, then it is time to grab onto FAITH"
 

Sawa kabisa.
Mambo haya ya ndoa yana dynamics nyingi sana.
Ila namshauri huyu dada asikate tamaa, maana inaonekana kama yuko karibu sana kukata tamaa.
Aendelee kuongea na mume wake kila siku, pia azame sana kwenye maombi ili kifungo hiki alichonacho kiweze kufunguka.
Wakiweza kupita na kushinda jaribu hili, hakika watadumu sana sana kwenye ndoa yao.
Pia tumsaidie kumuombea ili apite kwenye pito hili salama.
 
Hahahaha, kilemba kimeficha upuuzi hicho!
Mimi nilikuwa nikitaka kumchelewesha mtu kazini basi nachukua kikopo cha deo nakisogeza karibu, jamaa inabidi avue suit huku Dreva anamsubiri nje!
being nuts sometimes helps! LOL

heheheheheeeeeee hahahahahaaaaa uuuwiiiiiiii Kaungaaaaa looooh yaani nimecheka hadi basi maana umenikuna kumoyo hahahahahahahahahahaaaaaaaaa. Chezeiya wivu wa mapenz yaani hadi kopo la deodorant linaonewa wivu na siku hiyo kama huendi kazini basi atashinda kutwa anakupigia simu vp ili tuu aangalie usijekuwa unataka tena na ukakimbialia kwa mpemba muuza duka. Thanks Kaunga umenikumbusha enzi heheheehehheeeee.
 
At least wewe umenielewa maana nilianza kujiuliza if there is something wrong with me. LOL

There things ambavyo havina shule, ni ubunifu tu na jinsi ulivyo huru na mwenzi wako. Hizi adabu za chumbani can be very boring kwa mtazamo wangu.

Pls keep the naughtiness in you, that is what make you you (special).
 
Ila jamani, yale makitu daily yanachosha
Once in a while hapo sawa
 

Tangazo hili linaashiria kuwa unahitaji mtu wa kuweza kumsaidia, si ndiyo? Kazi ipo!
 
Once per week si mbaya,
Ila once per quarter inabidi mnaohudumiana mshibe kwanza:becky:, ugali mhogo na migebuka

Hiyo once in a while ndio quartery? Tena kwa dakika 2:59?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…