weka pini kichwani kwako wakati wa tendo la ndoa na hakikisha asiione, hali yake itarudi kama zamani............source NDIBALEMA.Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
mambo haya yanatokea wakati mwingine wala usihisi vibaya,sasa ni hivi kuwa nae karibu kuliko mwanzo, wanaume wana mambo mengi sana vichwani! na jitahidi sana kuonyesha wewe ni muhitaji sana wa tendo na kwa mitego ya hapa na pale! mida ya jioni penda kumfanyia vitu anavyo vipenda sana!penda kama kumshauli konyesha kuwa haya ni maisha tu na asiwe ni mtu wa kufilia sana kuhusu maisha haya hata kama mambo yatakwenda kombo! kwa ujumla fanya vitu vidogovidogo ambavyo vitamfanya aondoe msongo wa mawazo!
ahsante ushauri umezingatiwaPole sana dada ,hebu jaribu kwenda kwa wtaalam wa saikolojia naamini mtapata msaada wa kutatua tatizo lako ,lakini pia wanawake mnazo mbinu nyingi za kuweza kumfanya mwanaume awe na hamu na wewe,hebu waone wanawake wenzio lakini wenye busara zao na hekima waombe ushauri usione aibu ,vile vile usijaribu kutoka nje ya ndoa kutafuta tulizo utaongeza matatizo zaidi ikiwa ni pamoja na magonjwa
Ofcourse nimeishi na hili tatizo kwa muda wote huu,nimejaribu kuvumilia tu na kuamini kuwa one day shida itapungua au itakwisha kabisa,nimeongea na jamii na kujaribu kumsaidia kwa njia nmbalimbali pia.Kwa maana hiyo umeishi na hilo tatizo kwa zaidi ya miaka 5? Hadi sasa umechukua hatua gani katika kumsaidia mwenzio?
Kwani mapenzi lazima kila siku kugegedana? Kiutu uzima hairuhusiwi?
Lol..funny but kinda true though.
But that just goes to show you how essential physical intimacy is in a marriage and other romantic relationships.
olewa wewe bwana....uishi miaka mingi.Mh! Kazi ipo!
Jitahidi kujiboresha boresha na kujirepea!
Kuna dada hivo hivo alikuwa ananisimulia mumewe hamgusi mwezi wa 6 huu na hakuna sababu! Nikamwambia anza maombi! Kutupiwa virago haviko mbali!
Kuolewa Mtihani Kutokuolewa Nuksi! Kuachika Mkosi! Sijui mtu afanyaje!!!!
Upunguze kuvaa mavitenge ovyo.....mtege kidogo,vile ulivyokua unafanya wakati wa uchumba,uendelee navyo....na usishangae huyo mumeo akienda game za mchangani anapiga goli nne tena hachoki.....!!!!
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu.
Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita iliyopita.tumebahatika kupata watoto 2.Wakati wa uchumba wetu uliodumu kwa miaka 2 mchumba wangu alikuwa very active katika suala la tendo la ndoa.Baada ya kuoana mambo yalibadilika kabisa kwani mume wangu amekuwa hajisikii kabisa kufanya tendo hilo ambapo yaweza pita wiki tatu hata mwezi mzima bila kufanya chochote na akibahatika kufanya basi ni round moja tena isiyozidi hata dakika 3.Nimejaribu kufanya kila niwezalo ikiwa ni pamoja na kuongea naye lakini yeye anadai kuwa yuko sawa ila hapendi tu kufanya mapenzi mara kwa mara kwani mara nyingi anachoka na majukumu ya kazi!Binafsi sioni dalili kama ananisaliti nje ya ndoa,ila nshindwa kupata jibu je hali hii ni kawaida? au pengine Kanichoka?
Wanawake mkisha zaa mnajisahau sana kunako mapenzi hapo utashangaa kei inatema harufu, style ndo hataki tena yeye kifo cha mende tu ubunifu wa kuzungusha nyonga ndo unapotea kabisa.