Yesu alishawahi kuwa na familia? Sasa mambo ya kifamilia atayatatuaje? Au yuko kama mapadri wanaofungisha na kusuluhisha ndoa ilhali wao hawajui hata maana ya send-off, kitchen party ama bed party? Au wanao utaalamu wa kinadharia tu bila vitendo? Hata kwa waganga wa kienyeji ambao mkuu wao ni shetani, bosi shetani aka ibilisi hajawahi kuwa na mke hivyo kuwapelekea shida za kwenye familia ni kuwaonea tu. Solution ni kurejea upya viapo vya ndoa yenu (wakristo si huwa mnaapa eti msitenganishwe hadi kifo tu?). Kwenye ndoa utavumilia shida, raha, magonjwa, afya, etc. so, solution number 1 ni KUVUMILIA. Kama hiyo itakushinda basi JIVUE GAMBA na uanze kupambana naye kupitia sheria za nchi! Mwisho, unaweza kumuacha tu kama ilivyo.mimi siamini katika dumba.kama zipo basi YESU ni kiboko yao,mme lazima arudi,mwite YESU mwana wa MUNGU nae ataitika na kukusaidia kumrudisha mmeo
Yesu alishawahi kuwa na familia? Sasa mambo ya kifamilia atayatatuaje? Au yuko kama mapadri wanaofungisha na kusuluhisha ndoa ilhali wao hawajui hata maana ya send-off, kitchen party ama bed party? Au wanao utaalamu wa kinadharia tu bila vitendo? Hata kwa waganga wa kienyeji ambao mkuu wao ni shetani, bosi shetani aka ibilisi hajawahi kuwa na mke hivyo kuwapelekea shida za kwenye familia ni kuwaonea tu. Solution ni kurejea upya viapo vya ndoa yenu (wakristo si huwa mnaapa eti msitenganishwe hadi kifo tu?). Kwenye ndoa utavumilia shida, raha, magonjwa, afya, etc. so, solution number 1 ni KUVUMILIA. Kama hiyo itakushinda basi JIVUE GAMBA na uanze kupambana naye kupitia sheria za nchi! Mwisho, unaweza kumuacha tu kama ilivyo.
Alikua mume mwema sana,Mwenye upendo wa hali ya juu sana na mimi na mwanae,Alianza kubadilia baada ya mimi kubeba mimba,Alikua mkatili sana kwangu na hakunijali kabisa kwa kipindi chote cha ujauzito,Niliumia lakini nilijipa moyo kw huenda ni kutokana na ujauzito,...nilishtuka sana baada ya kujifungua mtoto wa kiume anayefanana naye sana akanitamkia kwa mdomo wake kuwa hamtaki huyo mtoto na ni bora ningekufa na mimba,Kwakweli iliniuma sana nikafatilia na kugundua kuwa anamwanamke anayedaiwa kazaa naye japo haina hakika km mtoto ni wake,Na inasadikika kuwa mwanamke huyo anauhusiano wa kimapenzi wa muda mrefu na mfanyakazi wa mume wangu ambaye yeye ndo alifanikisha kumtegea mume wangu dawa ili awe na uhusiano na mwanamke huyo (mwenye watoto 3) na wanashirikiana kumwendea kwa mganga ili amjengee huyo mwanamke nyumba. Nisaidieni nifanyaje jamani
huyo mumeo hajarogwa sema kapewa vitu ambavyo wewe humpagi.
Yesu alishawahi kuwa na familia? Sasa mambo ya kifamilia atayatatuaje? Au yuko kama mapadri wanaofungisha na kusuluhisha ndoa ilhali wao hawajui hata maana ya send-off, kitchen party ama bed party? Au wanao utaalamu wa kinadharia tu bila vitendo? Hata kwa waganga wa kienyeji ambao mkuu wao ni shetani, bosi shetani aka ibilisi hajawahi kuwa na mke hivyo kuwapelekea shida za kwenye familia ni kuwaonea tu. Solution ni kurejea upya viapo vya ndoa yenu (wakristo si huwa mnaapa eti
tema mate juu mkuu kwahyo tumpelekee matatizo mudi aliyeoa mbaka vitoto visivyojua kuoga vya miaka 13 sio?????acha kucheza na imani za watu!
mumeo kajiroga mwenyewe kwa tamaa zake.....
Ila kama unadhani karogwa, kaa funga omba....
Then fuata solution namba 1 alokupa lara 1.......
Ila kuna wanawake mna moyo isee, unamjua mwizi wako halafu umetulia.......... Baadhi Wanawake Wengine timbwili lake mwizi atahama mji na mume ndani ataishi kwa mashaka.....
Huwa naumia sana nikienda harusini na kuona eye contacts za maharusi na the vibes za mapenzi kati yao. Nikiwaza kuna siku watakuja kuwa maadui, hata hamu ya mchele inaniishia.
Pole dadito.
Mkuu, mimi si muislam wala Mwana UAMSHO ila nadhani mwenye experience ya kutatua matatizo ya kwenye ndoa (na hasa ya mwanandoa mmoja kumsaliti mwenzake) ni Mtume Muhammad maana yeye alimsaliti MCHANA KWEUPE mke wake wa kwanza na kumletea wengine watatu. Lakini huyu bro. Yesu hakuwahi kuwa na hata demu, sasa nani mwenye uzoefu? Tumia logic kufikiri mkuu, na sio magic!UAMSHO at work....
Kuna njia 2 za kupitia
1. FIGHT FOR YOU SURVIVAL
Nenda ustawi wa jamiii kablock 75% ya Kimshahara cha mumeo ofisini ili umuhudumie mtoto,
Mtafute huyo shankupe umpe kipondo afu mlaze ndani wiki nzima( ni haki yako kikatiba)
Muweke vikao lukuki mumeo na wazazi wake, muaibishe kwa mchungaji na rafikize kwa kulalamika mateso
2. Do nothing and pray!!!!! Ila jiulize je wewe ni msafi wa moyo? sala za wasiwasi hazifiki upesim.
Ushauri wangu pambana njia za kinondoni hapo namba 1 hata mganga haoni ndani, ubabe ubabe tuuuuuu!
Biblia inasema imani bila matendo hiyo imekufa! Cha ajabu waumini wengi wamekufa (kwakuwa matendo yao mengi yako kinyume na mafundisho ya Mungu wanayemwabudu) lakini wendawazimu hawa wanafikia hatua ya kuota eti wataona pepo na wengine kuombea maiti zipete kwenda kwa Sir. GOD! Ni uvivu wa kufikiria tu ndio unawagharimu waafrika wengi, waliozileta hizo dini sasa hivi hawajui hata hizo Quran na Biblia zinauzwa mtaa gani! Waafrika tulivyoletewa hayo mapokeo, tulisahau msemo maarufu kuwa "akili ya kuambiwa changanya na yako". Tukaingia kichwa kichwa sasa tunatafutana kuuana wengine wapate vibali vya kwenda peponi! Stupid!Yesu alishawahi kuwa na familia? Sasa mambo ya kifamilia atayatatuaje? Au yuko kama mapadri wanaofungisha na kusuluhisha ndoa ilhali wao hawajui hata maana ya send-off, kitchen party ama bed party? Au wanao utaalamu wa kinadharia tu bila vitendo? Hata kwa waganga wa kienyeji ambao mkuu wao ni shetani, bosi shetani aka ibilisi hajawahi kuwa na mke hivyo kuwapelekea shida za kwenye familia ni kuwaonea tu. Solution ni kurejea upya viapo vya ndoa yenu (wakristo si huwa mnaapa eti
tema mate juu mkuu kwahyo tumpelekee matatizo mudi aliyeoa mbaka vitoto visivyojua kuoga vya miaka 13 sio?????acha kucheza na imani za watu!
Ustawi wa jamii "sucks". Mke wa rafiki yangu alimpeleka mumewe uko akapewa mwanamama mmoja hivi kuwa case manager wake. Guess what!!??? Siku ya kwanza jamaa kwenda kusikiliza alichoitiwa akatongoza totoz na kupewa kidate, mwisho ile kesi ilikuwa mbaya kwa mke kwani vyote alivyotaka hakupata hata ki1 ila vijisenti kidogo vya malezi