huyu mumeo ni jinga kabisa!
na ingekuwa kweli unapigwa angefanyaje!
vtu vingine si vya kujalibu bwana!
Dah! Ribosome mbona umekuwa mkali hivyo? Basi ntakulipa kwa kunieleleza, kiswahili kinanisumbua, anyways asante kwa mchango, ntatafuta the right word hapo.
Hivyo nlijitahidi kumkaripia kistaarabu lakini yeye aliendelea kusisitiza kuwa tumekuwa wapenzi kwa muda wote ambao mume wangu alikuwa nje kitu ambacho si cha kweli
Acha kutuzuga bidada.....wangapi wanalea na huku wanabanjuliwa mitaani....na hata maofisini bana....wewe yaonekana utulivu ndani ya ndoa ...below 50%. am so sorry kama utakwazika ila nashawishika kusema hivyo kutokana na maelezo yako.
Henge wewe ndo jinga kubwa
Huyo bwana alikuwa sahihi
Alitaka kujuwa wakati yuko
Nje ya nchi mkewe alikuwa na mahusiano au la
na kile kitendo cha mkewe kwenda kukutana naye
kinadhihirisha kuwa mkewe anapigwa na tayari jamaa
ameshapata picha halisi
imebaki kwake kuchukuwa uamuzi
Mkewe alitakiwa akatae kwenda kukutana nae
kwani anaonekana ni kimeo kwa sababu ameshagongwa
na zaidi ya mwanaume mmoja ndo maana hata alishindwa
kujua ni nani amemu-text
Lutu2 mkuu umeoa/umeolewa!??Henge wewe ndo jinga kubwa
Huyo bwana alikuwa sahihi
Alitaka kujuwa wakati yuko
Nje ya nchi mkewe alikuwa na mahusiano au la
na kile kitendo cha mkewe kwenda kukutana naye
kinadhihirisha kuwa mkewe anapigwa na tayari jamaa
ameshapata picha halisi
imebaki kwake kuchukuwa uamuzi
Mkewe alitakiwa akatae kwenda kukutana nae
kwani anaonekana ni kimeo kwa sababu ameshagongwa
na zaidi ya mwanaume mmoja ndo maana hata alishindwa
kujua ni nani amemu-text
lol, hata nimeshindwa cha kusema hapa. Inabidi nicheke tuu
Bombu inaelekea hadithi hii ni ya kutunga na siyo hali halisi iliyotokea. Iweje wewe mke wa mtu na unajua 100% huna mtu mwingine zaidi ya mume wako akutoe nyumbani kwenda eneo la kukutana? Hapa inaonesha kwamba kuna wengine. Hukujiuliza suppose mumeo anakukuta sehemu hiyo wakati hana taarifa za wewe kwenda huko si ungezua jambo lingine? Katika hali ya kawaida hata kama ni mwanaume anatongozwa na mwanamke asiyemfahamu asingeweza kwenda huko. Halafu, ni kweli hujui text za mume wako? Najua utashangaa, lakini kwa mtu wako lazima ungeweza kugundua kuwa huyu ni yeye, why? kila mtu ana lugha anayotumia katika kusema ama kuandika ambayo nina uhakika kabla ya kuingia kwenye ndoa mlikuwa mnawasiliana kwa text au sauti (simu) vitu ambavyo haviendi nje sana ( iwe vocal au maandishi). Anavyozungumza ndivyo anavyotext kama vitapishana ni 20% tu.
Kuwa makini.
"Mie nkaushtukia mchezo hapo, ila nkasema wacha nione hii movie mwisho wake utakuwaje. Tukapanga hadi kukutana, bahati nzuri sikuwa na papara. ALHADULILAH! mara nafika eneo la tukio ni yeye huyooo!
Nilighafilika kwa kweli, ingawa hisia zangu zishantuma kuwa kama sio yeye basi ameweka watu wanitrace. Hivi ingekukuta wewe mwana JF mwenzangu, ungeliamuaje hili?"
ungekuta sio yeye ni mwingine ungefanyaje? mngeendelea na mipango yenu au...
Kiukweli wote uaminifu wenu are in question! aliyeuza cheni bandia na aliyetoa pesa nae bandia. Yaaani unatuambia ukiitwa kwa simu tu twende kazi au hukuona hatari yeyote kwenda huko. Labda maelezo hayatoshi, yaani jamaa huko alikokuwa alikuwa anachapa deadly na wewe huku vivo hivyo kama tutasoma between lines
Ningejua hapo hapo kwenye eneo la tukio