Mume wangu kantongoza

Mume wangu kantongoza

bombu

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
1,127
Reaction score
544
Naombeni jamani tusaidiane hili. Mume wangu alikuwa masomoni nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili, amerudi hivi karibuni. Aliporudi kanunua line ya Airtel ambayo ndio ninayoifahamu. Mie sikujua kumbe mwenzangu kanunua line ya tigo, ambayo hakunambia. Sasa siku moja usiku nashangaa msg inaingia:-

YEYE: Darling mambo vipi? Naona tangu jamaa yako arudi umenitosa
MIE: Mbona mie sikufahamu?
YEYE: Hee! kumbe tuko wengi tunaoiba? Njoo basi tukutane hapa Rose garden

Na mengine meeengiiiii.

Mie nkaushtukia mchezo hapo, ila nkasema wacha nione hii movie mwisho wake utakuwaje. Tukapanga hadi kukutana, bahati nzuri sikuwa na papara. ALHADULILAH! mara nafika eneo la tukio ni yeye huyooo!

Nilighafilika kwa kweli, ingawa hisia zangu zishantuma kuwa kama sio yeye basi ameweka watu wanitrace. Hivi ingekukuta wewe mwana JF mwenzangu, ungeliamuaje hili?
 
Karibu tena bombu, siku nyingi sijakusikia.
Kama ulifahamu kuwa kuna kamchezo, ingekuwa vizuri kama ungemshrikisha huyo mume wako cuz kama aliamua kukufanyia hivyo, basi ujeue hakuamini na kuvitu alitaka kuprove!
 
Last edited by a moderator:
Na wewe mtongoze!(just joking)..
Take it easy,ila mwambie asirudie next time,msamehe na maisha yaendelee..
 
hakuamini hata kidogo! Sasa inabidi na wewe ujifanye kama mnaachana hivi??
 
Naombeni jamani tusaidiane hili. Mume wangu alikuwa masomoni nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili, amerudi hivi karibuni. Aliporudi kanunua line ya Airtel ambayo ndio ninayoifahamu. Mie sikujua kumbe mwenzangu kanunua line ya tigo, ambayo hakunambia. Sasa siku moja usiku nashangaa msg inaingia:-

YEYE: Darling mambo vipi? Naona tangu jamaa yako arudi umenitosa
MIE: Mbona mie sikufahamu?
YEYE: Hee! kumbe tuko wengi tunaoiba? Njoo basi tukutane hapa Rose garden

Na mengine meeengiiiii.

Mie nkaushtukia mchezo hapo, ila nkasema wacha nione hii movie mwisho wake utakuwaje. Tukapanga hadi kukutana, bahati nzuri sikuwa na papara. ALHADULILAH! mara nafika eneo la tukio ni yeye huyooo!

Nilighafilika kwa kweli, ingawa hisia zangu zishantuma kuwa kama sio yeye basi ameweka watu wanitrace. Hivi ingekukuta wewe mwana JF mwenzangu, ungeliamuaje hili?

Sasa ulighafilika nini? unajuwa maana ya kughafilika lakini au umeliweka tu hilo neno?

Kughafilika ni kusahau, sasa wewe hapo ulimaanisha ulighafilika (sahau) nini?
 
hakuamini hata kidogo! Sasa inabidi na wewe ujifanye kama mnaachana hivi??

Hii inasikitisha inaonekana na ww macho juu. Kama kweli mwaminifu utapangaje na mtu ambaye huna uhusiano naye na wala humjui? Cha kushangaza na ww umekwenda, ungekuta buzi kweli si ungeachia mchezo? usituzuge kwa kuwa umekuta mumeo ndiyo unajibalaguza.

Acha kabisa huo mchezo wewe ni mke wa wenyewe. Na nyumba hujengwa na heshima ya mke kama hujui.
 
Naombeni jamani tusaidiane hili. Mume wangu alikuwa masomoni nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili, amerudi hivi karibuni. Aliporudi kanunua line ya Airtel ambayo ndio ninayoifahamu. Mie sikujua kumbe mwenzangu kanunua line ya tigo, ambayo hakunambia. Sasa siku moja usiku nashangaa msg inaingia:-

YEYE: Darling mambo vipi? Naona tangu jamaa yako arudi umenitosa
MIE: Mbona mie sikufahamu?
YEYE: Hee! kumbe tuko wengi tunaoiba? Njoo basi tukutane hapa Rose garden

Na mengine meeengiiiii.

Mie nkaushtukia mchezo hapo, ila nkasema wacha nione hii movie mwisho wake utakuwaje. Tukapanga hadi kukutana, bahati nzuri sikuwa na papara. ALHADULILAH! mara nafika eneo la tukio ni yeye huyooo!

Nilighafilika kwa kweli, ingawa hisia zangu zishantuma kuwa kama sio yeye basi ameweka watu wanitrace. Hivi ingekukuta wewe mwana JF mwenzangu, ungeliamuaje hili?

kweli wewe ni bombu huoni hiyo ni bahati kuona mmeo anakupenda na chengine kwanini uende kwa mtu usiemjua au na wewe ni wale wale..
 
Mwanamke mwaminifu kwenye ndoa yake hawezi kufanya mawasiliano ya namna hii mpaka anaenda eneo la tukio.Kuna wasiwasi wa uaminifu wako kwenye ndoa yako bombu!
 
Last edited by a moderator:
Rejao. . .si mume wake jamani? Wasiwasi wa nini?
Labda ukute mkataba wa kwanza umeshaisha,then that guy atakuwa na right kukutongoza tena otherwise mmh!
 
Last edited by a moderator:
Labda ukute mkataba wa kwanza umeshaisha,then that guy atakuwa na right kukutongoza tena otherwise mmh!

Mbona yeye kakubali kutongozwa? Wote ni wale wale hivyo akubali tu.
 
Shosti wewe nae sie vp uende wakati mumeo Yukon nyumbani ,ningekua mie ningemchambaa na mumewangu ningemuonyesha SMS ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom