Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Ha hahahahh! Dark City inatamkwa as darkcile keshasoma.
Wewe kasome somo la kwanza kesho kanisani as a pentancy for ur sins.
Nani kafa? Bahati mbaya shetani kazikamata pabaya, nikiingia kanisani ujuwe lazima kuna msiba wa mtu wa karibu ambaye ntalazimika kutoa heshima ya mwisho. Unabisha? Kufa uone.😛layball:

Coz you don't mean what you say.
Au u mean yoyote atakaye kubali mtongozo wako, u go all the way?
Hahahahah can you prove that beyond reasonable doubt?

hahahah ukinisoma vizuri nimesema siyo wote naowatongoza nawagegeda, kuna wengine mashallah, mama matesha nisamehe tafazali. Siyo mimi, ni shetani.
 
Unataka utongozwe kwa minajihi ipi?
1. Ujionee bado mzuri?
2. Upate kibuzi cha kuchuna?
 
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
Loooo, Afadhali. Mungu mukubwa. Nilishuka sana moyo kwa kudhani eti Kaunga ndiye hatongozwi!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee unahitaji derivalance, ngoja nimiulize snowhite kama tunaweza kukusqueeze kwenye ratiba yetu ya next year; maana kwa Mwaka huu ni ngumu sana.
 
Last edited by a moderator:
Loooo, Afadhali. Mungu mukubwa. Nilishuka sana moyo kwa kudhani eti Kaunga ndiye hatongozwi!!

Haha hahahh, georgeallen ungenitoa nuksi kwa kunitongoza hata kiuongo uongo nini? Au ungekuwa disappointed na mama mkwe wako? LOL
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza we unaonyesha hujui mana ya kitendo na kutendwa, kitendo sio dhambi na kutendwa ndio dhambi.

Mwanamke anaweza kuwa anania ya kufanya sex lakini time ya mwisho kabla y kusex asifanye handikiwi dhambi, unafahamu hilo au hufamu...na asipo fanya sex anapata thawabu.

Unaweza kuwa una nia mbaya ya kutaka kufanya dhambi na usifanye, Mungu hakuandikii dhambi mpaa pale unafanya...we umesomeshwa wapi dini wewe.

Dhambi inanza kuandikwa pale action ya kitendo ulicho dhamiria kukifanya.

Hujaona watu wanao sali wakapewa adhabu na hawatoki misikitini/kanisani unajua sababu gani, sababu wanajidai wanafanya mazuri kumbe wanafanya machafu.

Kila kitu kinakwendA na nia(imani yako) kama imani yake (KAMA YULE MWANAMKE) anataka kujipima kama bado mzuri sidhani kama ana-andikiwa dhambi, na kama anafanya vile kwa ajili ya kusex hapo ana-andikiwa dhambi, we huwezi kujua ndani ya yule mwanamke nia yake, Je anataka kweli atongozwe ili afanye sex, au anataka tu atongozwe ili aone mme wake atakuwa na wivu au hana.


Allah does not wish injustice for any of His creatures. (Surah Ale Imran, 3:108)
How could it be that Allah Who commands us for doing justice can Himself be an oppressor?

The Holy Qur'an says: Allah commands people to maintain justice, kindness, and proper relations with their relatives. (Surah an-Nahl, 16:90)



Uliona wapi ndoa ambayo haina wivu? We hujui wanaume au wanawake ambao hawana wivu hawaendi peponi!


Sa unaju vipi kama yule mwanamke anataka kujipima tu kama mme wake ana wivu naye, una kelele tu wala hutazami mwanamke yule anasema vile kwa sababu gani, au ana kitu gani anacho kitafuta kwa kauli hio, huwezi kujua wewe isipo kua Mungu tu na malaika ndo wanajua nia ya yule mwanamke ni nzuri au mbaya.

Kuhusu point ya Mtume sijasema mimi watume wana daraja kama sisi binadamu, nimetoa tu mfano ikiwa mitume wameleta mifano hio, vipi leo wanaume wanaseme mwanamke malaya akimfata kusema kampenda, au anataka aolewe na huyo mwanaume...We leo ukifatwa na mwanamke akasema anataka umuoe si utasema ni malaya? Huo ni mfano nimekupa wewe unaye dhania dhania kila kitu wakati dhana ni mbaya.
 
Mwanamke kama hatongozwi nayo noma, ana haki ya kulalamika kwanini hatongozwi:biggrin:

Kutongozwa kwani dhambi?

Ku sex nje ya ndo ndio dhambi:A S shade:

"...kwa mawazo,maneno na vitendo..." so ni dhambi!
 

hahahahhhahhhhhhhhhhhhh! nimecheka hadi chai imemwagika lolz!

ila ukweli watu wanaangalia first look, na hapo ndipo wanapoona tuanze na gia gani. kuna mwl mwenzangu mmoja aliwah kuniambia kwanini simpati bf wa fani nyingine?? nikamuuliza unapata wapi akasema kila anayekuja ni ama loya au mhandisi ama dr hata siku moja simpati banker ama mhasibu. nikamuuliza kwanini unafikiri akasema sijui ni haya mavazi ya kialimu kila siku kitenge na suti so hawa niwatakao huona sio type yao.

nilipo chunguza kauli yake ingawa nilicheka ila nilijisemea ni kweli manake kila siku na kitenge ama suti za mfecane sasa unafkiri banker atakudate uende nae wapi??

na nilipojiangalia mie nimeolewa na mhandisi so pengine ningevaa vimini na miibano ningejipatiapo banker ama mhasibu lol!
 
Hii kali, labda watu wanamuheshimu kuwa ni mke wa mtu....kwanini aseione the other side of the coin?
 
Umeona eeh, aah ndio maana nami mvaa majeans na macadet napata watu pori wenzangu.
Sasa nahamia kwa suits na vitenge nionekane lady kidogo! LOL
 
"...kwa mawazo,maneno na vitendo..." so ni dhambi!
Eleza tukufahamu naona unauma uma maneno.

Unakusudia kumuambia mwanamke umempenda ni dhambi?

Unakusudia kusema umeamua kwenda kufanya sex na hujafanya ni dhambi?

Unakusudia nikimuwaza mwanamke mzuri ni dhambi?

Kweli mnatakiwa mrudi mkasome dini nyie:biggrin:
 
Hii kali, labda watu wanamuheshimu kuwa ni mke wa mtu....kwanini aseione the other side of the coin?
Sa na yeye kama anataka kumpima mme wake ana wivu au hana utajua vipi hapo? au ni dhambi kupima pendo la mme:biggrin:
 
Umeona eeh, aah ndio maana nami mvaa majeans na macadet napata watu pori wenzangu.
Sasa nahamia kwa suits na vitenge nionekane lady kidogo! LOL

hahahhahhahhahahahahh!
tena?? mie ngoja niendeleze vitenge vyangu mwenzio, siku hizi unafanya kazi ya kutizama kitenge gani kizuri kimetoka mwali.
 
Sio hivyo
Kama si hivyo basi ni kwako sio kwake, kumbuka kila mtu ana tabia yake kuna wengine wameowana bar, kanisani au misikitini sa unajua hio ndoa ilifungwa wapi...bar, kanisan au msikitini :A S shade:
 
Kama si hivyo basi ni kwako sio kwake, kumbuka kila mtu ana tabia yake kuna wengine wameowana bar, kanisani au misikitini sa unajua hio ndoa ilifungwa wapi...bar, kanisan au msikitini :A S shade:

Wewe lakini hujaniroga?
 
Ila kiukweli wanaume sijui wanatumiaga factors gani kutongoza! Kuna mtu ana mke mzuriii, anakutongoza hadi unaona aibu na kuhisi anakuchora! Unabakia kucheka tu!
:A S-heart-2: ni kizunguzungu tu! Hata Paw huwa namshangaa ananipendea nini!:rockon:
Anapiga story hapa JF....

Mie siwezi ila wewe mwombe akuruhusu utembelee PM yake anytime halafu utakuja kunambia....

Ngoja nimwite King'asti tumalizie andishi la project yetu ya kuchungulia chungulia yanayoendelea behindi the scene!!

Babu DC!!
 
Usiniambie na wewe mvuto negative kama mimi! LOL
Ila kiukweli wanaume sijui wanatumiaga factors gani kutongoza! Kuna mtu ana mke mzuriii, anakutongoza hadi unaona aibu na kuhisi anakuchora! Unabakia kucheka tu!
:A S-heart-2: ni kizunguzungu tu! Hata Paw huwa namshangaa ananipendea nini!:rockon:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…