Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Unajua ninaweza kuwa mkubwa kwako; l am not binti bwana.

em ngoja nichukue tape measure!
ahaahhahahahahhahhaa msinivunje mbavu mie!
sasa ngoja aje FP nae msikie anavokomalia shikamoo zenu ndo wote mtakaa chini!
ngoja tu wengine tujinyamaziage!
 
Last edited by a moderator:
That is the kind of people naadmire; sidhani kama kuna mtu mwingine hapo ofisini kwenu amedare kumtokea huyo dada kwa kuwa story na msimamo wake unatambulika.

Tukionana nitakupa story inayofanana na hiyo inayonihusu (l can't here maana nahisi ID yangu ishatambulika job). So story za misimamo ya wanawake inasambaa sana na men do their homeworks before approaching.

Back to mfano wako wa nyuma (watu wanne au watano kumtongoza mdada bila kujua background yake), kuna kitu kinaitwa 1st impression. Muonekano, kauli na body language speaks a lot na hiyo huchangia ktk mtu kumtamkia mdada. Vaa decent na sura ya kazi l am sure atakaye kutongoza atakuwa genuine na sio kina Asprin.
 
Last edited by a moderator:
em ngoja nichukue tape measure!
ahaahhahahahahhahhaa msinivunje mbavu mie!
sasa ngoja aje FP nae msikie anavokomalia shikamoo zenu ndo wote mtakaa chini!
ngoja tu wengine tujinyamaziage!

Tuscan birth certificates kule faragha ndipo mtakapotupa shikamoo tunaostahili! LOL
Yaani ka@fp kwa mwaka 89 ndo kadai shikamoo; nofudgingway!
 
Last edited by a moderator:

Usilete mambo ya akili zako hapa lete andiko linalosema ni faraja mke wa mtu kutongozwa wakati hata vazi lenyewe ni la kumficha mwili mzima unless awe ndani kwake na mumewe. Kuhusu mwanamke kujitongozesha kwa Mtume hilo sio suala la daraja ya mwanadamu kama wewe. Mitume ni viumbe wa daraja ya juu na ndio walioyaleta maandiko na tafsiri zake na walikuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Mwenyeez mungu kufanikisha ujumbe wao na mungu mwenyewe alikuwa akiwainulia kila chenye msaada kwao kufanikisha kazi zao na hapo hapo shetani nae alikuwa akiinua watu wake kukwamisha kazi za mitume. Waweza kutoa sababu kwanini alimkataa?
 

Kweli Kaunga,

Kuna baadhi ya vitu kweli tulifaidi ila bado kuna baadhi ya maeneo ambayo tunahisi kwamba vijana wanatupiga bao.

Mfano, sisi ilitubidi kutumia nguvu nyingi sana katika uwindaji ingawa ilikuwa na raha zake. Ila siku hizi nasikia baadhi ya midume inawindwa!
 
Last edited by a moderator:

Una utani na Mzee mwenzangu Asprin?
 
Last edited by a moderator:
Kuna njia nyingi za kutongoza unajua; halafu sitafurahi naye akilalamika mkewe kamroga. LOL

Ndiyo maana nikamwita aje afanye interpretation ya maandishi yako.

Si unajua wenzio macho yetu yamekaa ki-1947....lol!
 
abomination!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…