kwanza babu ukimwona mwanamke anatoka na mtu wa ofcn kwake jua huyo mwanamke akili yake haimtoshi kisawa sawa.
kutoka na ofc mate wako?? dah kuna watu wana guts aisee!
mm huwa naipenda CARE INTL sana hii NGO bana kwenye mkataba wao umeandikwa kabisaa hakuna kutoka na mtu ama kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtumish mwenzio. hilo ni kosa la kufukuzwa kazi manake wanajua kabaisa mapenzi yakiwekwa ofcn hubomoa ofc kabisa.
Hawa ndio wanaotufanya wanawake wote tuonekane hamnazo
Una akili weye, maana haishi kujieleza kila siku kuwa kastaafu as if anam-dare lara 1 kumpima kama kweli kastaafu! LOL
mwali nipo mabwe tayar hvoo!kilonga longa hakina chaji
si ndo hapoooooooo!au na ye anataka kusema bibi kamloga ndo mana hatongozi!
ah babu enh hebu twambie!mzee mwenzio Mtambuzi kashasema hataka shikamoo sasa na wewe inawezekana huzitaki lakini yet hutaki uwekwe kwenye kundi la kina Nicas Mtei usije ukakosa kizee kama somo yangu gfsonwin na bado kina Madame B wakuone size yao!hebu nyosha maelezo babu!
mi mjukuu bana nina haki ya kujua na wajibu wa kuuliza!lol:rockon:
ahahahahhahahahahhahahha ila kweli ngoja nihakikishe i have my share mapemaaaa!Subirini na nyie zamu yenu...ipo siku mtaachia ofisi tu....
halafu mtu ukabidhi ofisi wakati marupu rupu ndiyo yameongezeka kwa zaidi ya 150%...!!
Inauma bwana, tuache utani...lol!!
Babu DC!!
hilo ndo huwaga la kwanza kujiuliza ninapotokewa
nimefanya nini mpaka anitokee?
Hapo ndo mnakosea mwanamke ni kiumbe ameumbwa tofouti na mwanaume, mwanamke asipo tongozwa anajiona kama ana kasoro vile...na hasa kama alikuwa mzuri kabla ya kuolewa, sa akiona kama hajatongozwa anajiona kapoteza uzuri wake ndo mana anakuwa anawasi wasi.Maelezo haya hayaendani na maudhui ya mleta uzi kwa maana kisa hapa ni kutongoza mke wa mtu. Waama kuhusu posa msichana ataulizwa na kutoa jibu lake mbele ya wazazi kwamba amekubali ama amekataa hairusiki kwa namna yoyote kukutana peke yenu vichochoroni na kukubaliana chochote. Ya kwamba kakubali na tayari keshaolewa analilia utongozwaji na wanaume wengine kivipi na kwa utaratibu gani hasa wa kimaandiko. Mke mwema hutoka kwa bwana na kisicho rizki hakiliki na hivyo suala la kuumia moyoni hapa halipo kama kweli ni mtu wa imani ya kimungu. Tunapaswa kushukuru kwa yote na huenda mungu wako amekuepusha na janga zito ambalo lingekufikia kupitia mkondo wa huyo mwanamke.
Kenye jamii kuna gender stereotypes kuhusu mwanamke. mf. kuonekana tofauti na mwanamme interms of akili, ngiuvu, kufikiri na kupambanua mambo etc. haya mambop yako rooted kwenye tradition zetu.....ishu kama hii ya mtu kushtaki mme kwamba kamloga hatongozwi inajustify hizi stereotypes kwa mtu mwenye low thinking capacity anayemjaji mwanamkeKwani ukishaitwa mwanamke unabeba na mizigo ya wanawake wengine??
Kama hamnazo kwa nini isiwe kwa huyo anayetaka kutengana na mume wake?
Babu DC!!
si ndo hapoooooooo!au na ye anataka kusema bibi kamloga ndo mana hatongozi!
ah babu enh hebu twambie!mzee mwenzio Mtambuzi kashasema hataka shikamoo sasa na wewe inawezekana huzitaki lakini yet hutaki uwekwe kwenye kundi la kina Nicas Mtei usije ukakosa kizee kama somo yangu gfsonwin na bado kina Madame B wakuone size yao!hebu nyosha maelezo babu!
mi mjukuu bana nina haki ya kujua na wajibu wa kuuliza!lol:rockon:
jamaani nikirudi uwalete washinde huku!lolpole mwaya nimekuona nimefurah sana.
wanangu wanakukumbukaje sasa?? kila sasa mama auntie snowhite anakuja lini ten??
basi mie imebidi niwaambie kasafiri akirudi tu atakuja lol!
ahahahahhahahahahhahahha ila kweli ngoja nihakikishe i have my share mapemaaaa!
Kenye jamii kuna gender stereotypes kuhusu mwanamke. mf. kuonekana tofauti na mwanamme interms of akili, ngiuvu, kufikiri na kupambanua mambo etc. haya mambop yako rooted kwenye tradition zetu.....ishu kama hii ya mtu kushtaki mme kwamba kamloga hatongozwi inajustify hizi stereotypes kwa mtu mwenye low thinking capacity anayemjaji mwanamke
Ni nature tu inakufanya uhisi kwamba uliishi kipindi chenye ukame kuliko sasa...lol!!
Babu DC!!
cc Mtambuzi hili hataki kulitambua kabisaHivi kuna ulozi kwenye kustaafu??
Ni nature tu inakufanya uhisi kwamba uliishi kipindi chenye ukame kuliko sasa...lol!!
Cha msingi ni kukubali kwamba imeshatoka hiyo....lol!!
Babu DC!!
Mfano wa tatu
Mwanaume anamtongoza mwanamke, mwanamke anamkubalia wana sex hapo ndo dhambi, mwanamke akimkatalia hakuna dhambi hapo hata siku moja na atakaye sema ni dhambi ni mtu hajui dini kabisa.
ukiona mwanamke unaambiwa umependeza ukajiachia kwa yote basi wewe ni mgonjwa wa akili,Bidada unafikiri kwetu hakuna policy kama hiyo? Hata kama mmeoana one has to resign; na pia advances zozote haziruhusiwi, lkn ni mpaka mmoja a-file a complaint. Na tungekuwa tunazifile hizo flirt hakuna mwanaume ambaye angebaki.
Ofice zimeproduce sio tu romance hata ndoa pia, hivyo siwezi ita upuuzi; ila kila mwanaume akujue wewe ni too much na ni ugonjwa wa akili kwa kweli. Ukisifiwa tu unafurahi na kuachia yote, it is disgusting.
cc Mtambuzi hili hataki kulitambua kabisaHivi kuna ulozi kwenye kustaafu??
Ni nature tu inakufanya uhisi kwamba uliishi kipindi chenye ukame kuliko sasa...lol!!
Cha msingi ni kukubali kwamba imeshatoka hiyo....lol!!
Babu DC!!
jamaani nikirudi uwalete washinde huku!lol
wape hi wakaka wazuri waambie antie snowhite love them mingi!