Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mume wangu kaniroga, sitongozwi kabisa

Mtu kashaolewa, anataka kutongozwa ili iweje?

Yaani hata nami nimeshangaa, ndio maana nimeileta huku, huenda kwa baadhi ya watu kutotongozwa kuna ujumbe fulani.
 
mnh!! yaani huyo amshukuru hata huyo mume aliyemuoa amemsaidia sana, maana kutongozwa ni mvuto, kama mvuto hana asitegemee kutongozwa labda awe anajianika baa mpaka wanaume wakishalewa level ya kuona kila mwanamke ni mzuri.
 
mnh!! yaani huyo amshukuru hata huyo mume aliyemuoa amemsaidia sana, maana kutongozwa ni mvuto, kama mvuto hana asitegemee kutongozwa labda awe anajianika baa mpaka wanaume wakishalewa level ya kuona kila mwanamke ni mzuri.

Waoh, 'Kutongozwa mvuto' Kiranga umeisikia hiyo, so kutotongozwa ni kutokuwa na mvuto.
 
Last edited by a moderator:
Sura kama chapati ya kichina nani atongoze?
 
Mwanamke kama hatongozwi nayo noma, ana haki ya kulalamika kwanini hatongozwi:biggrin:

Kutongozwa kwani dhambi?

Ku sex nje ya ndo ndio dhambi:A S shade:
 
eh,
na mi ngoja nitafte mchawi wangu!
:A S 39:
na ole wake!

Yaani nimesimuliwa na kaka yangu (plumber) mnyamwezi nikabaki mdomo wazi. Imebidi ahamie kwa jamaa yake kwa muda baada ya nyumba kuwa unbearable.
 
Atongozwe ili iweje ??? Kaunga!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
Kaunga sasa mke wa mtu utongozwe ili ukafanywe nini?
Tena naomba mnitafutie huyo mganga mwenye uwezo wa kumfanya mke wangu akipita kwenye midume yenye uchu aonekane kama Baunsa wa kwenye ukumbi wa disco
 
Last edited by a moderator:
kumbe kutongozwa deal mjini enh? haya nakaribisha mitongozo kwa moyo mkunjufu:A S-heart-2:
 
Mwanamke kama hatongozwi nayo noma, ana haki ya kulalamika kwanini hatongozwi:biggrin:

Kutongozwa kwani dhambi?
Ku sex nje ya ndo ndio dhambi:A S shade:

Kweli huo ndo utetezi unaoweza kuutoa kwenye kikao kinachojaribu kutafuta foot cause ya kumnyima unyumba mwenzio na kuondoka nyumbani kwa miezi 4 bila ruhusa ya mumeo?
 
Hahahahahahahaha
kumbe watu wanapenda kutongozwa, na wakitongozwa utasikia acha kunisumbua!

Huyo mama amewekewa ulinzi lol
na mungu ni mwema anaendelea kumlindia jamaa ndoa yake!
Aisee ni hatari!
 
Hamtaki Plumber lakini wakati huohuo hana mvuto wa kumpata zaidi ya Plumber.
Si kwamba hatongozwi, ila hajapata wa kumzidi Mr. plumber.

Kama ingekuwa ni kutongozwa tu mbona wanawake wana mitego mingi!
 
Back
Top Bottom