Mume wangu kaniharibia mtoto,msaada please!

Mume wangu kaniharibia mtoto,msaada please!

Huyo mtoto kwann hasingesema cku ya kwanza alivyofanyiwa kitendo au hakuumia? Kuna mkanganyiko hapo..
Huyo mama aende polisi mme kitu gani bhana.
 
Haya ndo maisha gani. Si ni heri ukae mwenyewe na watoto hadi wakue ndo utafute mume kama Mamndenyi.
 
Last edited by a moderator:
Amuwekee sumu afe huko kwingine anamcheleweshaa
 
mmmhhh
best angu nielimishe hapa adamu alifanyiwa nn ss

Mwanzo 3:17

Akamwambia Adamu kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako ukala matunda ambayo nalikuagiza, nikisema usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako.
 
Mshauri rafiki yako huyo haraka amripoti mumewe kwenye vyombo vya dola kama walivyochangia wana jf. Huyo baba hana haya wala hajui vibaya. laana za M/Mungu zitamshukia.
 
Huyo rafiki yako mzima kweli?

Badala ya kumpeleka polisi huyo bazazi anakaa kimya?

Hao watoto aliwazaa kweli?
 
Masikini wa Mungu mtoto hana wa kumsaidia...kamwambia mama; lakini mama huyu mbinafsi wa kutupwa ameshindwa kutoa msaada...

Mimi wangekuwa ni ndugu zangu ningewafungulia kesi wote mtu na mkewe...mume kwa kubaka...mama kama facilitator...shwaini...

Nimekuwa nafuatilia hizi issue za ubakaji...victim wanakosa haki na ubakaji unaota mizizi kwa sababu ya watu kama huyu mwanamke...utasikia siwezi mshtaki mume wangu...siwezi mshati mwanangu...zitungwe sheria kali za waficha maovu kama haya; mbakaji afungwe maisha...aloficha siri 15 years


Nikiwa mdogo kulikuwa na dada ana shape kama mashogange kila mtu alikuwa anajua anatembea na baba yake. Na hakuna alochukua hatua na wote tulikuwa primary...yule dada mpaka kakua baba kampangishia nyumba na akawa haongei na mama yake...hilo kabila la huyo dada nasikia huo ndo mchezo wao...kutembea na first born...sijuhi ni ushirikina ili wawe na fweza au nini...

Kwa hiyo victims watakuwa ni wengi sana jamii inafumba macho

yaaani tangu julai mtoto anaharibika mama hajachukua hatua kweliiii jamani
 
Siwezi kuwataka radhi,wewe mkeo hutosheki naye mpaka uhamie kwa mwanao?

Narudia tena walaaniwe wanaume wote wenye tabia za kuwagegeda watoto wao

Hapo ndo umenen vyema ulipaswa sema hiv bfore...
 
Tatizo la msingi hapa ni utegemezi.....umaskini!
Mke ana hofu hana pa kwenda akifukuzwa ama akiondoka kwa mme..
Angekua anaamini katika kuishi peke yake angeshaondoka kwa kupigwa...acha hili la kubakwa mwanae.
 
Tutake radhi, unajua maana ya mwanamke? manayake aliyetoka kwa mwanamme. hivyo kusema turaniwe unamaana gani?

Alaaniwe babake, usigroup watu wote kwajili ya chizi mmoja kwani umesahau yule mama anaetembea na mwanae na wanataka kufunga ndoa !!
 
Yaani huyo mama mpuuzi kweli. Yaani eti anaogopa kupigwa na kufukuzwa sijui analinda nini hapo maana ndoa haipo tena.Bora kuwa mjane. Ahhhrrrrgh! Inatia kichefuchefu!.
mh coral una hoja nzuri watz wengi ni waoga hata katika vitu ambavyo viko wazi kabisa.
 
Washitakiwe wote 2 ie mke na mume kwani wanashirikiana ktk hili . Please chukua huyo mtoto mpeleke ustawi wa jamii atasema mwenyewe kwani hapo mama hana . Sijui mimama mingine ikoje tu aaaah inatia hasira kama nini, eti linaogopa litaachwa jamani jamani.
 
Back
Top Bottom