Mume wangu kaniharibia mtoto,msaada please!

Mume wangu kaniharibia mtoto,msaada please!

Kitengo inaitwa USTAWI WA JAMII JINSIA NA WATOTO itakuwa inahusika na you better be sure of ur instings na ambacho mwanao amekuambia


Sent from my iPod touch using JamiiForums
 
Duh! Wababa wengine kama wachawi vile, weka mbali na watoto....
 
ustawi harakaaa na kama vpi hospitali afanyiwe check up..
 
Sio wote ni wachache wehu waliojawa na roho ya kishetani

Najua sio wote

Ila hizi laana ni kwa wenye tabia kama za huyo baba,manake hiki sio kisa cha kwanza vipo vingi sana vya aina hii
 
Mwenyezi Mungu awalaani,

Maana ile alopewa ADAM haikutosha

Yaani kosa alilolifanya mwanaume mmoja ndio adhabu ya laana iwaendee wanaume wote!!!

Halafu kwa taarifa yako Adamu hajawahi kulaaniwa, soma maandiko yako uzuri usitake kutupotosha.
 
Anaogopa kupigwa na kufukuzwa???wonders shall never end...yani ameamua kufuga maradhi makubwa namna hiyo kwasababu anaogopa kufukuzwa???? I wonder anacholinda kwenye hiyo ndoa ni nini.....huyo mume ni zaidi ya lucifer...
 
Yani huyo mwanamke hafai uogope kuchukua maamuzi eti ataachika mtoa mada amulize huyo mwanaume akifa je ataenda nae?
 
Damn,sheria ifuate mkondo wake.anakosa la kubaka huyo coz um sure std 7 ni undr 18
 
Huyo aende kituo cha polisi cha jirani..hiyo ni kesi ya jinai inatakiwa kuanzia polis....
 
ss huyo mwanamke anasubiri nn hapo au karogwa?
mbona hainiingii akilini
 
Yaani kosa alilolifanya mwanaume mmoja ndio adhabu ya laana iwaendee wanaume wote!!!

Halafu kwa taarifa yako Adamu hajawahi kulaaniwa, soma maandiko yako uzuri usitake kutupotosha.

mmmhhh
best angu nielimishe hapa adamu alifanyiwa nn ss
 
sasa wewe unawezaje kuendelea kuishi na huyo Mnyama , mbwaa ana nafuu.......
 
whaaaaaaat!

mwanae wa kumzaa? hapo mume hakuna, majanga matupu. Suala hilo asilifumbie macho, awe tayari kupambana na changamoto sitakazojitokeza ikiwemo toka kwa ndugu lakini pia ndoa kusambaratika.

but for me.. mume hakuna hapo. Otherwise kalogwa.
kenge anaikimbia mvua na kujificha majini
 
Me mtu kama huyo namuua tu maana shetani ana afadhali ya huyo....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom