Mume wangu kaniharibia mtoto,msaada please!

Mume wangu kaniharibia mtoto,msaada please!

anaogopa mume atamfukuza..yaani hawezi kuishi bila huyo mwanaumwe...sasa wewe unaetaka apelekwe jela atakuelewa kweli
mahaba niue haya???????? ptuuu

Wanawake wengine bwana yuko radhi mwanaye aendelee kuharibiwa kuliko kufukuzwa
 
Huyo mama nae afungwe au apewe adhabu ya viboko pia. She was an aiding and abating a crime.
 
whaaaaaaat!

mwanae wa kumzaa? hapo mume hakuna, majanga matupu. Suala hilo asilifumbie macho, awe tayari kupambana na changamoto sitakazojitokeza ikiwemo toka kwa ndugu lakini pia ndoa kusambaratika.

but for me.. mume hakuna hapo. Otherwise kalogwa.
Umeona!!!!! Halafu eti anaogopa kupigwa wakati kila Siku anapigwa. Eti tena anaogopa kuachwa wakati kaishaachwa na mwanae kachukuliwa. Hapo ndipo huwa nawadharau sana dada zetu. Unakuwa mtumwa mpaka wa fikra?!
 
Huyo mtoto atamuitaje mama ake dada au mama?
Du! Mpe pole huuyo rafiki
Aripoti hilo suala kwa ustawi wa jamii au polisi.
Kwa kweli inauma saana kwa jins binadamu tulivyogeuka wanyama au denge.
Baba anamgegeda mtoto wake....
Kwa jins anavyochelewa atarajie mjukuu kutoka kwa mwanae.
 
Umeona!!!!! Halafu eti anaogopa kupigwa wakati kila Siku anapigwa. Eti tena anaogopa kuachwa wakati kaishaachwa na mwanae kachukuliwa. Hapo ndipo huwa nawadharau sana dada zetu. Unakuwa mtumwa mpaka wa fikra?!


mara nyingi ukiona mama anafanya hivi hajitambui au ni mwoga sn wa maisha.. (unasubiri utendwe nini tena zaidi ya hayo ndio uchukue hatua??)
 
hii issue tunataka tuisikie katika vyombo vya habari na jamaa amekamatwa soon la sivyo nyamlega una la kujibu hapa JF
 
Hii stori inafanana na jmaa mmoja wa sekei arusha,alitembea na binti yake hivyovyo mpaka binti akashika mimba.mama na watu wengine wakaandamana wapi,mtoto mpaka alivyoenda shule walimu wakaona mabadiliko,kumkagua wakaona ni mimba.Baba akaitwa na akaenda kupewa taarifa anasema mimba ni yangu,shetani alinipitia,si ndo walimu kuamka kuita police sasa ye yuko ndani anangoja hukumu yake ya kubaka na kutishia kuua.
My opinion is...mama siku zote ana dhamana kubwa sana kwa mtoto,hata tukio la kuzaa tu ni kifo na uhai.Sasa kwa kesi ya huyu mama hapo juu anahitaji ujasiri na asiogope hata kulala jalalani kwenye swala ya well being ya mtoto.akifukuzwa hana kwao?akipigwa anakufa?God forbid lakini kwenye swala la mtoto/mwanangu i can barely kill..Mungu nisamehe
 
mwambie aendelee kuogopa tu huku nyumba inazidi haribika
Swali la msingi ni je hawa wanandoa wakristo au kabila gani la dini hapa duniani?
 
Hiyo ni laana, ni kuku pekee anaeweza kula yai lake na sio binaadam kwa mwanae
 
Tatizo si uoga wa maisha sista!

Elimu ndio inawaumiza sana wanawake! Nina imani endapo angalau wanawake wangelikuwa na uelewa na haki zao pamoja na mambo mengine katika jamii.. Basi wasingekuwa wananyamazia haya mambo!

mara nyingi ukiona mama anafanya hivi hajitambui au ni mwoga sn wa maisha.. (unasubiri utendwe nini tena zaidi ya hayo ndio uchukue hatua??)
 
Tatizo si uoga wa maisha sista!

Elimu ndio inawaumiza sana wanawake! Nina imani endapo angalau wanawake wangelikuwa na uelewa na haki zao pamoja na mambo mengine katika jamii.. Basi wasingekuwa wananyamazia haya mambo!

Sidhani kama ni elimu; wapo wenye elimu na bado wananyanyasika to the maximum
 
The matter should be reported to the police so that the husband can be dealt accordingly!
 
Back
Top Bottom