Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

Mume wangu nimechoka kudanganyika na mapenzi, nalizwa Mimi Kila wakati, nadanganywa na mabaharia. Usaliti jamani usaliti uliokithiri, nitafika kwako nikiwa nimechoka Sana
emoji1751.png
kwa presha ya moyo jamani. Je, umepanda basi gani jman mbn hufikiiii. Uko Burundi, Kenya, Mozambique, au Tanzania.

Mabaharia wa siku hizi wanataka utoe mzigo mapema hawataki ata kuvumilia angalau miez 6, wako na haraka Sana. Lakini najua Mume wangu uko uliko utakuwa mvumilivu Sana, tutaanza kupeana mbususu baada ya miez 3 kidogo jamani
emoji1751.png
emoji16.png
.

Mabaharia wa siku hzi hawatutaki sisi vyeusi Mangala, hawatutaki sisi jobless jamani, hawatutaki sisi tusiokuwa na Tako wala mguu
emoji2960.png
emoji38.png
, hawatutaki sisi wapiga mizinga jamani, hawatutaki sisi vifupi nyundo... Loooh!! Lkn mme wangu najua ww utakuwa huna shda kbs na ivyo vigezo jmn
emoji16.png
emoji85.png
.

Nami najua mme wangu ww utakuwa ni Mume bora na baba bora kabisa. Vile vigezo vyangu 30 vyote nimevipunguza ss jamani, vimebakia tu usiwe mnywa pombe Sana, unywe kidg tu. Ww umbo lolote tu ata mwembamba, mnene, mfupi, mrefu, mweupe, mweusi sawa tu. Uwe na mapenzi ya dhati jamani. Miaka yoyote tu jmn.

Usichelewe Sana eti
emoji8.png
[emoji177

Mume wangu nimechoka kudanganyika na mapenzi, nalizwa Mimi Kila wakati, nadanganywa na mabaharia. Usaliti jamani usaliti uliokithiri, nitafika kwako nikiwa nimechoka Sana kwa presha ya moyo jamani. Je, umepanda basi gani jman mbn hufikiiii. Uko Burundi, Kenya, Mozambique, au Tanzania.

Mabaharia wa siku hizi wanataka utoe mzigo mapema hawataki ata kuvumilia angalau miez 6, wako na haraka Sana. Lakini najua Mume wangu uko uliko utakuwa mvumilivu Sana, tutaanza kupeana mbususu baada ya miez 3 kidogo jamani .

Mabaharia wa siku hzi hawatutaki sisi vyeusi Mangala, hawatutaki sisi jobless jamani, hawatutaki sisi tusiokuwa na Tako wala mguu , hawatutaki sisi wapiga mizinga jamani, hawatutaki sisi vifupi nyundo... Loooh!! Lkn mme wangu najua ww utakuwa huna shda kbs na ivyo vigezo jmn .

Nami najua mme wangu ww utakuwa ni Mume bora na baba bora kabisa. Vile vigezo vyangu 30 vyote nimevipunguza ss jamani, vimebakia tu usiwe mnywa pombe Sana, unywe kidg tu. Ww umbo lolote tu ata mwembamba, mnene, mfupi, mrefu, mweupe, mweusi sawa tu. Uwe na mapenzi ya dhati jamani. Miaka yoyote tu jmn.

Usichelewe Sana eti .
Maake kwanza nichekee😂😂😂😂😂
 
Yaaan kila nikifikiria kumuoa Johhana mwanamke wa ndoto zangu lkn nikikumbuka tuu kuwa huwa anabeti na anajua mikeka yote nachoka kabisa daaah😇🤣
 
Ukiwa kwenye mahusiano na mwanaume rijali na akakuvumilia miezi 6 bila kumpa game,jua anapewa huko nje na ataendelea kupewa na huyohuyo hata baada ya kuoana.

Mtu hauko bikra na mbaya zaidi unahitaji uhudumiwe miezi yote hiyo 6 uliyobana mapaja.

Ngumu kumeza hiyo!
 
Ukipewa ndo utamuoa?. Wangapi umewadanganya mpaka Sasa?
 
Back
Top Bottom