Mume wangu jamani nimechoka kudanganywa....

Nandinii

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
2,573
2,808
Mume wangu nimechoka kudanganyika na mapenzi, nalizwa Mimi Kila wakati, nadanganywa na mabaharia. Usaliti jamani usaliti uliokithiri, nitafika kwako nikiwa nimechoka Sana kwa presha ya moyo jamani. Je, umepanda basi gani jman mbn hufikiiii. Uko Burundi, Kenya, Mozambique, au Tanzania.

Mabaharia wa siku hizi wanataka utoe mzigo mapema hawataki ata kuvumilia angalau miez 6, wako na haraka Sana. Lakini najua Mume wangu uko uliko utakuwa mvumilivu Sana, tutaanza kupeana mbususu baada ya miez 3 kidogo jamani .

Mabaharia wa siku hzi hawatutaki sisi vyeusi Mangala, hawatutaki sisi jobless jamani, hawatutaki sisi tusiokuwa na Tako wala mguu , hawatutaki sisi wapiga mizinga jamani, hawatutaki sisi vifupi nyundo... Loooh!! Lkn mme wangu najua ww utakuwa huna shda kbs na ivyo vigezo jmn .

Nami najua mme wangu ww utakuwa ni Mume bora na baba bora kabisa. Vile vigezo vyangu 30 vyote nimevipunguza ss jamani, vimebakia tu usiwe mnywa pombe Sana, unywe kidg tu. Ww umbo lolote tu ata mwembamba, mnene, mfupi, mrefu, mweupe, mweusi sawa tu. Uwe na mapenzi ya dhati jamani. Miaka yoyote tu jmn.

Usichelewe Sana eti .
 
Mume wangu nimechoka kudanganyika na mapenzi, nalizwa Mimi Kila wakati, nadanganywa na mabaharia. Usaliti jamani usaliti uliokithiri, nitafika kwako nikiwa nimechoka Sana kwa presha ya moyo jamani. Je, umepanda basi gani jman mbn hufikiiii. Uko Burundi, Kenya, Mozambique, au Tanzania.
Ni kweli mkuu 2021 ndio inakatika ,hata nusu mwezi haifiki mwaka nao utakuwa umekatika
 
Hebu saka maisha Dada usiende kunyanyasika kwenye ndoa ukakosa option ya kuondoka.

khaa🙄🙄 jobless ni stress za kutosha, na mume juu jamani?

Hakuna mwanamme anaependa mwanamke wa kukaa tu hasa zama hizi. Waone tu huku wanapopoa corporate women ujidanganye utaingia mikono mitupu.
 
Mume wangu nimechoka kudanganyika na mapenzi, nalizwa Mimi Kila wakati, nadanganywa na mabaharia. Usaliti jamani usaliti uliokithiri, nitafika kwako nikiwa nimechoka Sana kwa presha ya moyo jamani. Je, umepanda basi gani jman mbn hufikiiii. Uko Burundi, Kenya, Mozambique, au Tanzania.

Mabaharia wa siku hizi wanataka utoe mzigo mapema hawataki ata kuvumilia angalau miez 6, wako na haraka Sana. Lakini najua Mume wangu uko uliko
Uko tayari kuwa small house?
 
20211205_204339.jpg

Nipo njiani mama watoto niombee safari njema
 
Back
Top Bottom