Hauna muda?
Nafikiri hii pia ni sababu ya ndoa yako kuvunjika.
Naamini jamaa hajaua mtu, anafaa kusamehewa. We all deserve second chances, don't we?
Kama kweli jamaa bado anakuhitaji after 8 years apart, kuna real love somewhere!
Unaweza ukahisi wanao wanapata kila kitu. Lakini kulelewa na mzazi mmoja pekee sio kitu kizuri.
Itafika wakati watamchukia mmoja kati yenu.
Wanaume hatutabiriki dadaangu. Unaweza jikuta unaangukia mikononi mwa mtu mbaya kuliko mumeo!
Mnatakiwa mpambane kuungana, sio kutengana. Give it one more try, fight for your family!
- KANA -
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.
nimejaribu kumshawishi tufile petition for doivorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo ntajaribu kufanya madai hayo kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divirce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once!
sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.
samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Last time I checked, no one was telling me what I should say!sipend maushauri yanamna hii!umeingia kwenye kiatu cha mtoa mada ww! had akaja hapa sio mchezo!ingia kwenye kiatry chake then toa ushauri!pole sana mtoa mada! nakuelewa sana! pole !SIMAMA KISHUJAA!
Mume wangu hanitoshelezi, kimwili na kimahitaji
Huyo mume unaemsema, ndie huyu ulieanza kutusimulia chuki juu yake kwamba ni m-binafsi na mvivu kila idara...
Kwa nini unawaza kubomoa ukuta uliojenga mwenyeweNimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.