kure wapi??
Mpendwa,hahahahahha duh mie nilijua wakurya peke yao ndio wanatakaga kipondo...hii kali
Inawezekana Kupigwa kunakozungumziwa hapo ni kupigwa kwa aina nyingine na sio magumi na mateke. huyo mwanamama anamaana nyingine.