Mume wangu hapendi sex

Mume wangu hapendi sex

Wakuu hbr za kaz
Niko mbele yenu tena kuomba ushauri juu ya hii ndoa yangu, maana inanipa wakati mgumu mno.

Mm ni mama wa watoto wawili, nimeolewa miaka8 iliyopita, niliolewa nikiwa miaka 18 na kabla cjaolewa nilikua na boyfriend wangu, tulishindwana kisa dini kwakweli tulipendana na yule jamaangu alikua ni yupo romantic SNA, yaan ukikaa nae huborek atakubeba, mala akukuiss, mala mgombane alafu akubembeleze yaan nilikua naenjoy haswaa japo alikua dereva tax lakin nilijiona kama natoka na pedeshee fulan sio kwa mahaba Yale na kunijali kule alinipenda SNA.

Nikaja kukutana na mume wangu kikaz, Naye alinipenda japo nayy alikua na kidem chake anakisomesha ila aliniambia hawana future yoyote alikua anamsaidia kutokana na hali ya uyatima wa yule bint,

Nadiliki kusema mume wangu tokea anipate amebadilika mno hajawah kuwa na michepuko wala nn na ananiamba mala kwa mala nilikua nataka Nile mototo wa kitanga nifurahie mapz, na kweli alikua anaenjoy nilijua kumkuna hasa na mahaba kama yote kwake nilikua namliza kama motto kitandan kwa utam

2017 mume wangu alipandishwa cheo, hapo ndio kizaa kinapoanza. Hana tena mzuka na mapz yeye yupo bize na kaz yaan huyu bwana mkubwa tokea aingie madalakan ndoa yangu imekua ngumu.
Yupo bize akiingia asbh kutoka usiku, akirudi yupo hoi hajiwez anakula analala tena anasema usiniamshe nimechoka acha nipumzike

Mnaweza kaa hata mwez usifanye tendo LA ndoa, na katika vitu ambavyo mkewe navipenda ni Huo mchezo, yaan some time mpaka namlillia Nipe kimoja bas anakwambia kesho mke wangu nimechoka sna, na ukimuangalia ni kweli amechoka
Inabidi umuache tu

Jaman napitia wakati mgumu, yaan mume wangu hayupo romantic kabisaaa yaan hata busu unafanya kumuomba yupo bize bize na kazi balaa.

Najikuta naanza kukumbuka ule mchepuko wangu yule afsa wa NMB yaan alinipa shoo mpaka nikimkumbuka najikuta natabadam, Ila yule jamaa anaonekana play boy SNA, na anamuogopa Mr wangu so ananikwepa HV japo nimemuomba awe anikuna tu nikiwa na nyege ila bado ananipotezea

Jaman nifanyaje, narudia tena sio kwamba wanaochepuka wanapenda ila changamoto za ndoa, kweli mwez mzima ninaishi na mume ndani namkalia uchi lakin hatak nifanyaje.

Nimeshaongea nae SNA kwamba Nina nyege mume wangu lakin anasema kesho kesho kesho.

Nifanyaje nampenda mume wangu SNA, kupita maelezo na wala sipendi kuchepuka lakin mwili unanisumbua nifanyaje jaman
Naawazaa tu what if mumeo huyo yuko humu jamvini ....mark word
 
Tangazo jingine tena...

Waungwana tunaendelea kukuelewa, ngoja waje wale wasioavha mbachao...
 
Usimsingizie Mheshimiwa Rais! Jipange kama Mama, mumeo anarudi home kachoka? Njoo PM nikupe ratiba za msosi zitakazo mwongezea nguvu na hamu ya kushiriki tendo.
 
Shetani amekukaribia sana.
Kazana na maombi.
Mfariji mume wako.
Mweleze juu ya hisia zako na unavyojisikia.

Nasema mpende wako wa ndani na usijaribu kumkaribisha shetani.

Kila la kheri
 
Mpe Bwn Yesu moyo wako atakuondolea roho ya uzinzi.
Fanya kazi saana uwe bussy ili upumzike vizuri.
Tulia na mmeo muishi maisha mazuri ya ndoa!!
 
Nilikuwa nataka kumwambia andae gunia 2 za mkaa kwa ajili yako 😃😃😃
Unachosahau ni kuwa gunia mbili za mkaa ni kwa ajili ya jinsia KE hasa pale mnapotaka kunyofoa korodani zeru mkisoma msgs za michepuko yetu
 
Ndoa zinachangamoto SNA, kila MTU akieleza sake hapa hapatatosha.

Ushauri wangu, mvumilie mume wako maana mmekula kiapo kwenye shida na raha, hizo ndoa shida inabidi umvumilie utakapochepuka ukafumwa utakosa uaminifu tena kwa mume wako na utajutia maamuz yko.
Kwamba wewe na mleta uzi wote neno SANA kwenu linakua SNA?

Mbona kama nyinyi ni mtu mmoja.
 
Ni PM nku kuneee. Mabaharia atuwezi kukaa kimya uku dem ana teseka kisa nyege
 
Back
Top Bottom