Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,262
Usingekua na miaka 29, ningekuja PM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooi msalimie R nimemiss kusoma mashauzi yakeNaona ulikuwa honeymoon dyadya na bebiyo R wooiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sio kwa kukumiss huku,.lol
Mfyuuuu mmefungiana huko mwezi mzima halafu unajishaua tuu hapa,.pyeee😛[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooi msalimie R nimemiss kusoma mashauzi yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuu mmefungiana huko mwezi mzima halafu unajishaua tuu hapa,.pyeee[emoji14]
Labda alikuwa mfanya usafi wa office kwa mumeweKwanza hii story ni ya uwongo
Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,
Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?
Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?
Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Sijui kama atakuwa amekuelewa,.maana kiswahili chenyewe tuu ni changamoto kwake..lol😄
akijibu haya majibu haya maswali tutajua ukweli na tunaweza kumpa ushauri sahihiKwanza hii story ni ya uwongo
Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,
Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?
Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?
Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Kwanza hii story ni ya uwongo
Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,
Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?
Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?
Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi.
Wengine hatupati mambo haya kwa wake zetu japo tunatamani hata iwe kila siku nimkune lakini wapi. Yeye jamaa anapata mtu mwenye full nyege lakini hapigi mzigo.
Dah..
Mume ndio chanzo. Anashindwaje kuacha kila kitu japo siku 1 kwa wiki ikawa ya kunpelekea moto mpaka amkaushe!Huyu dada akichepuka Mkuu ili kukidhi nyege zake wa kulaumiwa ni nani Mkuu!?