Mume wangu hanifikishi kileleni : Ushauri

icetea

Member
Apr 18, 2014
17
6
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu.

Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora.

Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote.

Naumia sana je nifanye nini?

KUNA UKWELI AMBAO UMEJIFICHA HAPO

1. MNAFNYA MARA NGAPI KWA SIKU 24 HYRS CIRCLE?
2. JE MNAFANYA MARA NGAPI KWA WEEK?
3. JE MNAFANYA MARA NGAPI KWA MWEZI?

Ndani ya majibu hayo utapata suluhisho.

Ila mumeo ni mwaminifu sana!! na inawezekana kwa mwezi mnafanya mara chache sana , kwa hiyo anakuwa na hamu iliypopitiliza kila siku- kwa hiyo unapoamua kumpa yeye tayari uko km 70 mbele yako

na vilevile akili yako ilishakutuma kuwa huyu hanifikishi kwa hiyo huwa hujiandai kisaikolojia kuingiliwa!! ndo maana sababu ya 1 hapo juuu + na hii= hutamaliza kamwe.

sasa la kufanya
1, Usimlaumu hata kidogo ama kunung'unika mbele yake
2. Mtie hamasa mapema na wewe jiandae kuwa unaingiliwa na mtu umpendaye
3. Mfanye michezo ya kutiana hamasa- mwambie akutomase sana hasa kis........ na anyonye nido kidogo. mpaka huko chini kuwa chapa chapa- mlenda kwa wingiiii
4. Mwambie awe chini na wewe juuu, usikae bali mlalie juu, bana miguu yako, halafu aanze kuingiza mbanano + utelezi wewe nakupa dakika mbili tu unalia hapo juuuuu.

kajaribu hiyo.

Angalizo.

1. Mfanye siku ambayo wote mmeshindia hapo home na hakuma mkwaruzo!!!!

2. Ikiwezekana muanze na kila siku then kwa siku mara mbili utaona jamaa mti utakuwa barabara atakusugu mpaka utaomba basi!!!!!!

KWA MWANAUME AKIYEKAA SIKU NYINGI AKIPANDA JUU HATA DAKIKA HAMALIZI
KWA MWANAMKE ALIYEKAA SIKU NYINGI KUMALIZA NI MBINDE!!

Nawasiliasha.
 
Wana Jf ninaombeni ushauri wenu juu ya hili jambo maana nahitaji kuokoa ndoa yangu. Mimi na mme wangu tumeoana miaka zaidi ya kumi iliyopita lakini kwa kipindi kirefu sasa performance yake kitandani imedorora. Kila tukiamua kula tunda yeye anawahi kumaliza na kuniacha mimi nikiwa nasumbuka kitandani bila msaada wowote. Naumia sana je nifanye nini?

Dah! yaani umeamka saa kumi usiku kuandika hivo? au ndio jamaa alikuwa anakula mzigo akachemsha, anyway m-pm MCHUNGUZI HURU akupe ufumbuzi wa hilo.
 
Last edited by a moderator:
When it comes to that hutakiwi kupaisha mawazo na make sure haingizi mpaka akuchezee useme mwenyewe sasa nataka, jaribu na hiyo.
 
kabla sijasema chochote hivi je! ulishakaa nae kulizungumzia suala hilo?.
 
Ni vibaya sana kutomfikisha mwanamke kileleni..mm huwa nachanganyikiwa..mwambie atumie katerero
 
kama anamaliza sana jua ana hamu sana na wewe, jaribuni kubadilisha style wewe mkalie juu yeye awe chini hii style inawasaidia wanawake kumwaga haraka. ogopeni chura kafa (mwanamke chin) utaishia kulia kila siku. tokeni apo kitandani nenden bafuni ata jikoni. itakusaidia afu mwambie mmeo aanze kufanya mazoez asiwe analegea tu dk mbili pwaa katua mzigo. hilo tatizo linatatuka ivo usichepuke.
 
Pole sana, ongea naye kwanza kuhusu hiyo ishu nadhani mtapata ufumbuzi. Hilo tatizo lipo juu ya uwezo wenu na mnaweza kulitatua endapo mtalijadili kwa uwazi wewe na mumeo.
 
Back
Top Bottom