Mume wangu anatembea na mdogo wangu

Mume wangu anatembea na mdogo wangu

Wezi tu na maneno yao "eti usimpe mwingine" nyoooo wanakupanga tu
Haina haja wewe mfanye amalize hata kabla hujaingia ndani

Mkuu ukiwa na umbile zuri wala hupati shida
Linapanda taratibu mpka nikimalizika kupanda atafurahia show .... Katikati ya safari utaskia ...usimpe mwingine
 
(Hichi ni kisa cha rafiki yangu wa karibu saana)

Habarini za usiku mkali wanajamvi its time for DAKU,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa Miaka 28 na nimeolewa. Mume wangu ana miaka 42. MUNGU amenibariki na watoto Wawili Mapacha wa Kike wenye umri wa miaka minne.

Ndoa yangu ni ya miaka mitano ila naona hamna Ndoa tena baada ya kugundua kuwa Mume wangu amekuwa akinisaliti na mdogo wangu wa mwisho mwenye umri wa miaka 20.

Mdogo wangu huyo wa mwisho alikuwa akiwasumbua sana wazazi huko nyumbani. Ni mtu wa kutoroka nyumbani usiku kwenda kwa wanaume tofauti tofauti na kumbi za starehe pamoja na kutembea na waume za watu.

Nilivyoona anazidi kuwafedhehesha wazazi wangu na ukizingatia umri wao umeenda sana, nikaamua kumchukua huko Mkoani na kumleta hapa Dar es salaam ili nimsimamie vizuri mimi mwenyewe.

Ambacho sikujua ni kwamba, kumleta hapa Kwangu ilikuwa ni kosa kubwa mno katika mustakabali wa Ndoa yangu. Kwanini sikujua kwamba Mume wangu angejivua ufahamu na kuanza kutembea na mdogo wangu?

Sasa hivi nimeamini kabisa kwamba baadhi ya wanaume hufikiria kwa kutumia nanihii zao tu na wala sio ubongo maana haiwezekani kabisa na haiingii akilini kwa mume wangu kunifanyia vile kwa sababu sikuwahi hata siku moja kutomridhisha pale aliponihitaji.

Niliyajua yote hayo siku fulani ambapo nilikuwa nimetoka kazini na kumkuta mdogo wangu akigaragara chini huku akitokwa na damu sehemu zake za siri.

Nilishtuka mno na kumuuliza amepatwa na jambo gani lakini hakunipa jibu la kueleweka. Niliingiwa na hofu mno na kuamua kukodi tax na kumkimbiza hospitali. L popakini tulipofika hali yake ilikuwa mbaya mno na kupelekea kupelekwa chumba cha Wagonjwa mahututi (ICU).

Nilimpigia simu Mume wangu aje hospitalini lakini alinipa sababu ambazo zisizo na msingi za kutokuja. Sikuelewa ni nini kilichokua kikiendelea.

Nikampigia simu Kaka yetu Mkubwa na Dada yangu ambao wao wanaishi hapa hapa Mjini na wakaja haraka hospitalini.

Baada kama saa moja Daktari alitoka ICU na kutuita ofisini kwake. Akatueleza kuwa Mdogo wangu alikuwa akijaribu kutoa Mimba hivyo mirija ya falopian imeharibiwa vibaya kutokana na utoaji huo wa Mimba na inavyoonesha ametoa mimba mara kadhaa.

Nilishangaa mno, inawazekanaje wakati nilimbana asiwe na uhuru kama aliokuwa nao wakati yupo kwa wazazi.

Baadaye tukaenda kumtazama wodini. Alivyotuona tu alianza kulia huku akituomba Msamaha. Kaka yangu akamwambia akae kimya na atueleze ni nani alimpa Mimba na kwanini atoe bila kuniambia.

Ndipo nilipopata Mshtuko mkubwa katika maisha yangu, baada ya kunieleza kuwa Mume wangu ndiye aliyempa Mimba na asubuhi ile alimpeleka kwa daktari kutoa Mimba. Na akakiri kuwa amekuwa akitembea nae tokea amefika pale nyumbani kwangu.

Ndipo nilipogundua kwanini nilipompigia simu aje hospitali aligoma na kutoa sababu zisizo na mashiko.

Kwakweli nilihisi Dunia inaniangukia. Nilivyorudi nyumbani na kumbananisha Mume wangu alikiri ni kweli alikuwa akitembea nae na ni mdogo wangu ndiye aliyemshawishi na akawa akiniomba msamaha.

Sikuwa na papara, nikaanza kukusanya mabegi yangu huku nikitokwa na machozi. Sio siri niliumia mno kwa kusalitiwa. Nilijiona sina thamani tena na nimeachwa uchi!!

Niliwabeba wanangu na kwenda kwa dada yangu ambako niko huko kwa mwezi sasa nikijaribu kujitibu maumivu na fedheha niliyoipata.

Mume wangu amekuwa akituma watu mbalimbali akiomba nimsamehe na kunibembeleza nirudi nyumbani lakini moyo umekataa kabisa. Nimekuwa nikimwambia amuoe tu mdogo wangu na waendelee na maisha.

Baadhi ya watu wamekuwa wakinieleza kuwa nimsamehe kwa ajili ya watoto lakini sioni kabisa sababu ya kuendelea kuishi nae. Namchukia na upendo haupo hata lepe.

Naomba ushauri, maamuzi niliyofanya ni sahihi? na nifanyaje kuondokana na maumivu nayoyapata kila siku kila nikumbukapo yaliyonikuta?
__________________________
Wanaume Usimpelekee Asali, hataiacja, Siyo kosa la mmeo ni lako
Kaaa hapo kwa Dadako
Maumivu Yakiisha Rudi Kwako
Ila Kuwa makini pia, mme wa dadako asijekutaka na ww
 
Wanaume bhana mnatetea ujinga[emoji6][emoji5][emoji5][emoji38]
Wanaume Usimpelekee Asali, hataiacja, Siyo kosa la mmeo ni lako
Kaaa hapo kwa Dadako
Maumivu Yakiisha Rudi Kwako
Ila Kuwa makini pia, mme wa dadako asijekutaka na ww
 
Ameyataka mwenyewe kwa hiyo shauri yake,kama ameweza kutembea na waume za watu huko alikokua atashindwaje hapo wakati dushe lipo ndani?
Huyo my wife wa jamaa akimsusa ,kina demiss watamchukua,akumbuke nguruwe hasusiwi shamba la mihogo,na samtaim wanawake matatizo mengine mnajitakia,umeolewa wewe mdogo wako wa nini? Ndo ukome siku nyingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli aisee
 
(Hichi ni kisa cha rafiki yangu wa karibu saana)

Habarini za usiku mkali wanajamvi its time for DAKU,

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa Miaka 28 na nimeolewa. Mume wangu ana miaka 42. MUNGU amenibariki na watoto Wawili Mapacha wa Kike wenye umri wa miaka minne.

Ndoa yangu ni ya miaka mitano ila naona hamna Ndoa tena baada ya kugundua kuwa Mume wangu amekuwa akinisaliti na mdogo wangu wa mwisho mwenye umri wa miaka 20.

Mdogo wangu huyo wa mwisho alikuwa akiwasumbua sana wazazi huko nyumbani. Ni mtu wa kutoroka nyumbani usiku kwenda kwa wanaume tofauti tofauti na kumbi za starehe pamoja na kutembea na waume za watu.

Nilivyoona anazidi kuwafedhehesha wazazi wangu na ukizingatia umri wao umeenda sana, nikaamua kumchukua huko Mkoani na kumleta hapa Dar es salaam ili nimsimamie vizuri mimi mwenyewe.

Ambacho sikujua ni kwamba, kumleta hapa Kwangu ilikuwa ni kosa kubwa mno katika mustakabali wa Ndoa yangu. Kwanini sikujua kwamba Mume wangu angejivua ufahamu na kuanza kutembea na mdogo wangu?

Sasa hivi nimeamini kabisa kwamba baadhi ya wanaume hufikiria kwa kutumia nanihii zao tu na wala sio ubongo maana haiwezekani kabisa na haiingii akilini kwa mume wangu kunifanyia vile kwa sababu sikuwahi hata siku moja kutomridhisha pale aliponihitaji.

Niliyajua yote hayo siku fulani ambapo nilikuwa nimetoka kazini na kumkuta mdogo wangu akigaragara chini huku akitokwa na damu sehemu zake za siri.

Nilishtuka mno na kumuuliza amepatwa na jambo gani lakini hakunipa jibu la kueleweka. Niliingiwa na hofu mno na kuamua kukodi tax na kumkimbiza hospitali. L popakini tulipofika hali yake ilikuwa mbaya mno na kupelekea kupelekwa chumba cha Wagonjwa mahututi (ICU).

Nilimpigia simu Mume wangu aje hospitalini lakini alinipa sababu ambazo zisizo na msingi za kutokuja. Sikuelewa ni nini kilichokua kikiendelea.

Nikampigia simu Kaka yetu Mkubwa na Dada yangu ambao wao wanaishi hapa hapa Mjini na wakaja haraka hospitalini.

Baada kama saa moja Daktari alitoka ICU na kutuita ofisini kwake. Akatueleza kuwa Mdogo wangu alikuwa akijaribu kutoa Mimba hivyo mirija ya falopian imeharibiwa vibaya kutokana na utoaji huo wa Mimba na inavyoonesha ametoa mimba mara kadhaa.

Nilishangaa mno, inawazekanaje wakati nilimbana asiwe na uhuru kama aliokuwa nao wakati yupo kwa wazazi.

Baadaye tukaenda kumtazama wodini. Alivyotuona tu alianza kulia huku akituomba Msamaha. Kaka yangu akamwambia akae kimya na atueleze ni nani alimpa Mimba na kwanini atoe bila kuniambia.

Ndipo nilipopata Mshtuko mkubwa katika maisha yangu, baada ya kunieleza kuwa Mume wangu ndiye aliyempa Mimba na asubuhi ile alimpeleka kwa daktari kutoa Mimba. Na akakiri kuwa amekuwa akitembea nae tokea amefika pale nyumbani kwangu.

Ndipo nilipogundua kwanini nilipompigia simu aje hospitali aligoma na kutoa sababu zisizo na mashiko.

Kwakweli nilihisi Dunia inaniangukia. Nilivyorudi nyumbani na kumbananisha Mume wangu alikiri ni kweli alikuwa akitembea nae na ni mdogo wangu ndiye aliyemshawishi na akawa akiniomba msamaha.

Sikuwa na papara, nikaanza kukusanya mabegi yangu huku nikitokwa na machozi. Sio siri niliumia mno kwa kusalitiwa. Nilijiona sina thamani tena na nimeachwa uchi!!

Niliwabeba wanangu na kwenda kwa dada yangu ambako niko huko kwa mwezi sasa nikijaribu kujitibu maumivu na fedheha niliyoipata.

Mume wangu amekuwa akituma watu mbalimbali akiomba nimsamehe na kunibembeleza nirudi nyumbani lakini moyo umekataa kabisa. Nimekuwa nikimwambia amuoe tu mdogo wangu na waendelee na maisha.

Baadhi ya watu wamekuwa wakinieleza kuwa nimsamehe kwa ajili ya watoto lakini sioni kabisa sababu ya kuendelea kuishi nae. Namchukia na upendo haupo hata lepe.

Naomba ushauri, maamuzi niliyofanya ni sahihi? na nifanyaje kuondokana na maumivu nayoyapata kila siku kila nikumbukapo yaliyonikuta?
__________________________
Ni story nzuri yenye masikitiko na mafunzo..... tatizo huwa na boreka sana na mambo ya hii story inamuhusu rafiki yangu wakaribu kabisa na huwa nazioanisha na chai kama chai nyingine.
 
We soma story tu ujifunze mengine achana nayo
Ni story nzuri yenye masikitiko na mafunzo..... tatizo huwa na boreka sana na mambo ya hii story inamuhusu rafiki yangu wakaribu kabisa na huwa nazioanisha na chai kama chai nyingine.
 
Inabidi uanzishe tread maalumu ya matukio ya mashosti zako.
Good morning🙈🙈
🏃🏃🏃🏃
 
Ah Mbona Hii Chai Ya Rangi? Hakuna Jipya Hapo.
Mbona Mimi Bro Alitembea Na Shemej Lakini Wyf Hakuliamsha Dude? Si Kwa Mmewe Wala Mdogoake Na Maisha Yanasonga Shedede Kinoma?
Wanawake Kumbukeni Wanaume Wameumbwa Vijogoo... [emoji23][emoji23][emoji23] Mtanisamehe...

Halafu, Akishaondoka Atakaa Bila Mwanaume Au Ndio Vile Nae Ataanza Kujirusha? Waswahili Husema "Bora Shetani Unayemjua Kuliko Malaika Usiyemjua...

Hapo Mke Arudi Tu, As Long As Mwanaume Keshaomba Msamaha! Mwanaume Kuchepuka Haiana Maana Hampendi Mkewe Japo Wakt Flan Wanawake Ndani Wanaeza Kukuchenjia Ukatamani Ardhi Ipasuke Udumbukie!

Mapenz Bhana Acha Kabisa. Kwan Hiko Kitu Kina Badilika Mtu Akichepuka? Una Uhakika Gani Mwenzako Hajawahi Kuchepuka? Je, Mkipooana Mlikuwa MaBikra?

Kama Mlikuwa MaBikra Sawa! Uwe Na Wivu! La Sivyo, Sameheaneni Maisha Yaende!

Mimi Nimekulia Kwenye Family Polygamous, Mke Zaidi Ya Mmoja! Tumepakana, Nikienda Kwa Ma Mdogo, Niko Home Kama Kawa.. Sasa Huu Wiv Wa Wake Zetu Duh!... Mama Rudi Nyumbani! Inaezekana Mdogoako Ndio Alimtega Mmeo Maana Ushasema Anatabia Ya Kutembea Na Waume Za Watu....

Mwanaume Haez Acha Hasa Ukute Mdo No Beautiful Wa Ukweli... Weee, Ntatafuna Mbayaaa... Kimya Kimya Lakini
 
Desturi yetu ni kuwa 'Mdogo wako akikipenda kitu chako ni vizuri kumwachia'. Hivyo nakushauri umwachie huyo mme, wewe anza kuganga upya naamini Mungu hatokuacha uendelee kuwa mpweke, na ukizingatia una ajira. Na huo ndo upendo kwa Mdogo wako.
Hapana, Asimwachie Mdogoake, Maana Ataenda Kuolewa Tena, Wakt Nionavyo Mimi Huyu Mama Anampenda Bwanake!
Amsamehe Tu. Maana Mwanadam Kukosea Ni Kawaida. Ana Uhakika Gani Kuwa Akianza Maisha Mapya Hatosalitiwa Tena? Isijekuwa Anaruka Mkojo Akanyage Mavi Shauri Yake... Hiyo Kitu Hainaga Shombo Eti Eroooo... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
Inabidi uanzishe tread maalumu ya matukio ya mashosti zako.
Good morning[emoji85][emoji85]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23]
Yaani story hizi zinazofanana na za kina shigongo hususani zilizoandikwa kiswahili hua sizisomi kabisa kabisa kama vile ambavyo huwa siangalii bongo movie.....
 
Back
Top Bottom