Mume wangu ananitesa

mumeo ni yupi?? yule aliye kuwa anakupenda tangu utotoni au
yule mume wa mtu alite kuita malaya kwenye simu mbele ya mkewe?
dada kwa kuanzisha thread za uzushi tu umefuzu!!!
 
kital

Bado anakutesa? Nimepata dawa.
 
Last edited by a moderator:
sirikisha wasmamizi wako pia mchungaji au shekh me naamini watakusaidia tabia ya kipigo ikiendelea baada ya kukalishwa chini mtafute kamanda kova atajua namna ya kukusaidia
 
shirikisha wasmamizi wako pia mchungaji au shekh me naamini watakusaidia tabia ya kipigo ikiendelea baada ya kukalishwa chini mtafute kamanda kova atajua namna ya kukusaidia
 
kitali

Hiyo ndo ndoa ila usibweteke chukua hatua......amka kiakili....mfanye aijue thamani yako..!!!
 
Last edited by a moderator:
ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.


Hiyo kasheshe, hayo ya kunyeana tena ni wazimu huo! Si utoke akianza kunya!?
 
Anaweza kuwa aliandika kwa kumsaidia mtu labda anaitaji ushauri, hata mm nilitoa story ya mdogo wangu watu humu hawakunielewa, tuwe tunashauri kutokana na mada si kuangalia juzi alipost nini. Watu wanashida wanaitaji ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bila ya huyu mume huna maisha? Kwenu umefukuzwa? Au ulizuiwa kuolewa ukalazimisha? Hivi unajua ni nini kinafuata baada ya hapo? Siku hizi hakuna aibu ya mtoto wa fulani kaachika, wenzako wanaolewa mwezi mmoja tu yakimshinda anarudi kwao, wewe subiri kipo unachokitaka, langu ni hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hii kuchanganya IDs za watu Moderator hamfanyi vizuri inabidi muongeze umakini ....mtu kama umeamua kutumia fake ID ili ujiachie JF alafu baadae inaunganishwa na your verified ID sio poa kabisa ....
 
madhara ya kukosea kuchagua haya.
Pole.
 
Pole sana jamani, umejaribu kuwashirikisha ndugu au wazazi wa pande zote mbili?
Wakwe!kunawakwe wengine ni majanga bora ajitahidi kumtafuta msimamizi wake wa Harusi,
 
Jiongezee dawa ya moto ni moto..yaani unapigwa na mlevi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…