Mume wangu ananinyima unyumba

MUMEO YEYE ANASEMA "ANAWAZA MAISHA, HAWEZI KUENDEKEZA NGONO" HAPA UMEPATA MWANAUME WA SHOKA DADA, SIO WENGINE KILA SIKU WANATAKA HAMBALULU! UKIWA NA SUSPENDER, HATA MKANDA UKIKITIKA, MAMBO MWEMERE! MWEMERE TU!
 
Wanaume tujichunguze kwa hili, naona wanawake wamekuwa frustrated sana na mambo ya unyumba, seems we don't fulfil our obligations well.
Mtu ameacha wazazi na kuambatana na wewe for reasons, moja na kubwa sana ni hiyo, ni LAZIMA umfurahishe mkeo kwa kumpa unyumba vya kutosha.
Zamani nilikuwa nasoma kuwa wake huwanyima waume zao unyumba...naona sasa kibao kimegeuka, sad..sad!!!
 
Watu tunatofautiana yaani mm hata niwe na shida papuchi muhimu na ndio uanaume huyo nadhani makuzi yake yamechangia hivyo
 
Haki sawa kwa wote, tunapeana na kunyimana
 
Pole. Nadhani main problem ni communication. Lazima mkae chini na kulijadili suala hii. otherwise ndoa inakuwa ni ndoano. Kuna mtu aliniambia K moja inachosha kwa baadhi ya watu. Sasa miaka 8 ni mingi inawezekana keshaichoka hiyo K hivyo katafuta pembeni. Try to find out tatizo ni nini kabla ya kumake conclusion. Inawezekana ana matatizo ya kiafya.
 
Monica2 Lazima Mzee anatatizo si BURE ama amepigwa kipapai au jogoo hataki, nenda pole pole
 
Si kweli Mimi ninamiaka 60+ na Mke wangu miaka 53 na tunapiga mechi kama kawa, nakubaliana la kiafya, mshikaji wake lazima anatatizo, alafu hata kama kaichoka lazima kungekua na dalili za uchepukaji!!
 
Si kweli Mimi ninamiaka 60+ na Mke wangu miaka 53 na tunapiga mechi kama kawa, nakubaliana la kiafya, mshikaji wake lazima anatatizo, alafu hata kama kaichoka lazima kungekua na dalili za uchepukaji!!
Miaka 60?unatumia neno kama kawa mara mshkaji wake haya ndugu umezeeka mwili ila ubaharia upo kwenye damu.
 
Yani Mwanamke Kama Huyu Ndo Nimkamate Mm.
Mbona Atataja Jina Mwalimu Nyerere Na Mama Maria Walitongozanaje!
 
Aiseee jamaa kachomolea papuchi mazima.
........nataka nikushauri kitu cha uhalisia kwa nn jamaa hatak kusex na ww...ila ngoja nisubiri vitu viwili kwanza mrejesho wako series 3
 
Mimi nahisi mume bengine ànatatizo Ila hawezi kuweka bayana,ninacho jua kama mimi sirahisi kukaa siku kadhaaa bila kukutana kimwili,mungu akusaidie
 
Kozo Okamoto nimependa ushauri wako. Dada Monika ww unapolalamika miezi mitatu, mwenzio nina mwaka na miezi miwili sasa na maisha yanasonga. Ushauri wangu sasa, ondoa wazo la unyumba kichwani jihesabie kama mjane na wala husiache kujishusha ila suala la kuomba unyumba acha kabisaaa. Siku ikifika yy ndo aonyeshe kukuhitaji. Ila amini ni jambo la kawaida. Hata kama kuna mchepuko wake ipo siku watachokana na atarejea kwako
 

Hata mimi mke wangu ananyima papuchi daaah...njoo pm tuyajenge. Hakuna kinachoshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…