Mume wangu ananinyima unyumba

Tafuta ka kijana pembeni kawe kanakusugua vizuri tena bila kwere kimya kimya! alaaa..!!!! anairingia kwani duniani yeye pekee yake ndo anayo?
Hata babu kama mimi nitampa viwili viwili weekly
 
Daaah! The world is unfair... Anyways pole mama
Umesema mnaishi Dar eenh?
 
Majibu yako hapahapa duniani,nyamaza kuwa busy na mambo mengine itafikia na yy atajiuliza kulikoni
 
Bora aende kwa wazazi wa pande zote ila sio kadhi wala padri hawa ukipeleka shauri lako lazma waibomoe hiyo ndoa ili wamfaidi vzr mkeo.
 
Monie kwanza pole, lakini pia kulikuwa na haja ya kusema ugomvi wenu wa awali ulisababishwa na nini.
Kuna case nyingine ni nzito na huwa zinamaliza hamu ya kufanya mapenzi
Na aliyekukosea...so unaweza kuwa ulishuka wakati tayari ulipanda ambako hakutakiwi..mfano kufumaniwa na ndugu au rafiki wa mume tena ndani ya nyumba ya mume/mke

Kugundua mume au mke ni gay/lesb... Ila pole sanasana.. Ulimwenguni tunapatana kwa sababu tunavumiliana mapungufu yetu
 
Hayo maisha anayawazaje mwenzetu?miezi mitatu hamkutani kisa anawaza maisha?
 
Jifanye na wewe you dont mind about having sex anymore uone.
Ataanza hangaika maana atahisi unachepuka roho itamuuma yani jitahidi kama huihitaju tena usimsumbue kabsa
 
Mkuu hapa upo sawa mnoo......ila umenichekesha pia
 
Umri wenu ke na me pleas,unaweza ukaw tatizo
 
Yaani umeshindwa kuvumilia mpaka umekuja kuyasema huku?
Ulidhani sitokuwepo?
sasa safari hii hutoniona nyumbani kabisa
Nimekwambia huu ni mwaka wa 'kazi tu' siyo sex mbona hunielewi wewe?

Imaginative comment


sio kila kitu ni utani, kuna muda wa kusoma na kujua mwenzio anahitaji ushauri

bangradeshi!
 
AKIRUDI HUWA HANUKII PERFUME, NA JE ANA MAENDELEO MAKUBWA SANA COZ ANASEMA HAWEZI KUWAZA SHIMO ANAWAZA MAENDELEO
 
Distance make heart fonder hivyo huna haja ya kuomba sababu wewe ndo mtafutaji, kusanya dunduliza, nunua ticket, wachukue watoto muage tamsap kwamba unaenda kusalimia nyumbani halafu utapita kuwatembeza watoto kwenye vivutio unavyoviweza (danganya toto). Nenda kaa mwezi kama wewe mfanyakazi hakikisha unaaga vizuri ili usipoteze kazi na unaweza kuelezea nia na madhumuni ya hiyo vacation. Ukirudi asipokujari basi ujue umeula wa chuya. Kama nyumba mmechangia basi gawana vyumba na kama ni ya kwake, kapange. Kama wewe mcha Mungu sina la kukushauri nenda kwa hao wanaokusalisha. Adios.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…